Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hahahaaaaa! Huyu jamaa kazidi kunitoka kiukweli.
Yaani hata sijui atanirudi kwa lipi!

Wewe utakua umelewa sio bure! Umeheshimu maamuzi yangu wapi?
Hayo matusi unayotukana ndio heshima?
Hata hivyo sioni haja ya kuendelea kulumbana hapa.
Kila mtu abaki na maamuzi yake na kuheshimu ya mwenzie.

Hakuna aliye kutukana umeambiwa ukweli chuki zako mitandaoni kwa dimond hazimpunguzii chochote kuwa mpole
 
Nyinyi Ukawa mumekuwa wajinga sana. Sasa hata mkimchukia DIAMOND mtabadilisha nini kwenye maisha yake? MUZIKI ni biashara nakila mtu ana uhuru wa kutumia fursa.wewe kama ulichagua CCM B yaani ukawa shauri yako. Siyo lazima kila mtu awe sawa na unachokifikiria au unachokipenda wewe.
 
Mlimsaidia nini DIAMOND enzi hizo anaishi TANDALE mpaka leo mumpangie kitu cha kufanya? Nyinyi kama hamumpendi sisi tupo tunaempenda. Kwendeni zenu nyie hamna umuhimu wowote kwa DIAMOND. Nyinyi mumchukie tuuu. Mwenzenu anaingiza pesa.
 
Mondi kaniangusha sana. KingKiba naona kama nafsi yang imeanza kumuelewa lkn dah kulamba matapishi jinsi nilivyokua namponda dah yan sijielewi mondi kanichanganya sana dah
Ngoja nibaki na Weusi tu arif
 
Hahahaaaaa, mkuu unaona taabu gani? Huu ni mwaka wa kufanya maamuzi magumu na sahihi.
Kama Lowassa aliweza kwenda chadema kutoka CCM alikodumu tokea mwaka 70 ijekuwa wewe?
#TorokaUje
 
Ngoja nianze kuweka imani kwa Kiba mana hawa wasanii wa Bongoflavor sio wakuwaamini nifah ckutegemea kama mondi atakuja kutulet down like ths"
 
Last edited by a moderator:

Nakuambia mimi leo nilikua nimefunga tumbo kwa mkanda maana kama Kiba angekuwa kwenye ule mkutano leo ningetundikiwa dripu.
Niliwaza itakuwaje? Kiba huyu ninayemkubali aje awaunge mkono mafedhuli CCM? Kiukweli nimemshukuru Mungu sana.
Ila Kiba ana busara sana, fikiria hata haya mapicha picha hajaweka kabisa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.
 
Hahaha: ila kanifurahisha sana kijana wenu" inaonekana hanunuliki na anaheshimu fans wake" I hop mwenendo wake utakua huu huu adi mwisho..
 
Weeee, Ali Kiba ni arrogant sana.Hapelekeshwi, akiamua kaamua.
Hata mimi naomba Mungu hadi mwisho aishie hivihivi maana akibadilika atanitia aibu sana.
 
Jamaa amekazana sijui kaadiwa uwaziri wa vilaza wenzie... Hata bure I don't like that thing hata iweje... Kiba4life
 
Haha nakweli mana sijui uso wako utauweka wap tehteh usiombe ase utaamia teamMavoko 😀.
 
Hahahaaaaa, Kiba namkubali hawezi kuniangusha. Kama leo siku ya uzinduzi hajaenda unadhani ataenda tena?
Labda siku atakayoapishwa Lowassa.
 
Jamaa amekazana sijui kaadiwa uwaziri wa vilaza wenzie... Hata bure I don't like that thing hata iweje... Kiba4life

Yeah, Kiba ndio mambo yote.
Jamaa kacheza karata dume leo.
 
Hakuna kipya kilichozungumzwa jangwan zaid ya kurudia yaleyale waloshindwa kuyatekeleza walopita na weng wao tumefuata show yabure ya msanii wetu mwenye domo kubwa kuliko kichwa wangoje waone umaty wa muh.. tareh zambele! namatuc yao nakutusahau tulowachagua na bado co sumaye nawengne wapo njian
 
nifer ww n mwanamke wa mfano, unayefaa kuigwa.
nmekuwa nafuatilia post zako nmekuja kugundua ww n genius.
but SALUTE kwa kiba.. huu ndo UZALENDO
 
Asante sana mkuu, ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom