Abdulraman ,Ndugu ndugu yangu ukisema hivyo unakosea,,Diamond na mtu yoyote ,wana haki ya kuchagua Chama wakipendacho ,au Mgombea wampendae,,point hapa ni kwamba Diamond ni msanii hivyo yeye kama msanii ,anawashabiki wengi kuliko unavyofikiria wewe au mimi na yule ,Hivyo basi sio wote wanaomshabikia katika kazi zake basi watamshabikia katika hisia zake za kisiasa,,kumbuka Diamond ni msanii. mara nyingi Msanii wetu huyo ushirikishwa sana katika Tuzo za Musiki Nchini na Nchi za nje,,upigiwa kura na Watanzania ,,tunamtakia mafanikio sana hila akumbuke kwamba Kupiga kura ni haki yake na Siri yake,akilijua hilo kwamba yeye kama kioo cha jamii anaangalia na watu wote wa Tanzania ,kuna wengine atawakwaza sana kama akionyesha anaunga mkono kambi fulani au mgombea fulani,,yeye Kwa nafasi yake ilitakiwa hile kura yake tarehe 25 /10 ndio ikaamue,lakini hii sasa hivi ,itamgharimu sana baadae,maana usije ukafikiria wewe kwamba kura moja ya mtu sio muhimu,hila ukijua haki ya kupiga kura hiyo kura moja ndio uleta mabadiliko makubwa sana,,,kura hiyo moja tuu ya mtu inaweza kumpa Magufuli au Lowasa Uraisi,hivyo pia ajihepushe na yeye maana ni ,mshiriki sana katika kazi za usanii wake ,kwenye vinyang'anyiro vingi sana vya kushindania TUZO,halafu akaikosa kura ya muhimu kwa mtu ambaye alikwanza na maamuzi yake ya KISIASA.,Jamani wasanii mliangalie sana hili ..kuweni neutral...siku ya siku Shika kichinjio cha cha kupigia kura nenda ukamchinje Lowasa au Magufuli hiyo 25 /10 / 2015.