Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.......Sitaki kuzungumzia hili zaidi maana hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuwaunga mkono viongozi na chama hiki kiujumla....
Tabia ya kuwaona wenzio ni wehu kisa wako tofauti na kile unachokiamini wewe ni use.nge wa kiwango cha mwisho kabisa, kama ukiona vitu vyenye wenzio wanafanya vinakuboa just fu.ckoff, YES f.uckoff!!!!!!!
Sasa kama humpendi kelele za nini hapa jukwaani afu dimond hana time na vinuka mkojo hata umchukie kazi bure demu wake mzuri na ana pesa akimpenda yeye inatosha mbona ukawa wapo madereva bodaboda kibao tu na vibaka wenzio si mpendane mukazae kunguru mbele ya safari huko.
Aibu yetu aibu yao?
Hahahaaa, Kiba kanipa raha sana leo.
Angemchukia huyu sawa
Kwa maslahi mapana ya taifa yeyote atakayekuwa tofauti na mabadiliko, tena mabadiliko hayo ni kuichagua Chadema kupitia UKAWA kuongoza nchi hii baada ya CCM kushindwa kwa miaka 54, tofauti na hapo akae mbali na mimi.
Nyinyi Ukawa mumekuwa wajinga sana. Sasa hata mkimchukia DIAMOND mtabadilisha nini kwenye maisha yake? MUZIKI ni biashara nakila mtu ana uhuru wa kutumia fursa.wewe kama ulichagua CCM B yaani ukawa shauri yako. Siyo lazima kila mtu awe sawa na unachokifikiria au unachokipenda wewe.
Thats why i love mpaka nakufwa for you, kuwa na lijanamke la kisasa halafu linashabikia ccm mimi kwakweli hata dyudyu haiwezi kusimama, tena wakivaa ile minguo yao ya kishirikina ndio kabisaaa.
Tabia ya kuwaona wenzio ni wehu kisa wako tofauti na kile unachokiamini wewe ni use.nge wa kiwango cha mwisho kabisa, kama ukiona vitu vyenye wenzio wanafanya vinakuboa just fu.ckoff, YES f.uckoff!!!!!!!
Mpenzi wangu, La Aziz nyongo mkalia ini Mdakuzi ni mwanaume anayejielewa, smart na great thinker.
Hawezi kuishabikia CCM, na ni mdau wa mabadiliko.
Laiti kama angekua CCM! !!! Ningemchana tu, no way...sikumbatii wajinga mie.
U hali gani Ali Kiba? Natumai u mzima kabisa na unaendelea vyema na shughuli zako za muziki.
Mimi kama shabiki/mpenzi na mfuasi wako napenda kukupongeza kwa kitendo chako cha kishujaa na chenye hekima cha kutokuhudhuria kwenye mkutano wa kuzindua kampeni na ilani za chama cha CCM uliofanyika leo jijini Dar Es Salaam katika viwanja vya Jangwani.
Leo mchana nilisikia tetesi kuwa utakuwepo jangwani, niliumia sana.
Niliamua kusitisha shughuli zangu zote leo ili niweze kuangalia mkutano huo niweze kuona kwa macho yangu kama utaweza kufanya onesho kwenye mkutano ule au lah!
Lakini hadi mwisho wa mkutano sijakuona kabisa, kwa hili nakupongeza sana Ali Kiba. Umenipa sababu za kukupenda na kuzidi kuupenda muziki wako mara dufu.
Kila mara huwa nasema kuwa siupendi mziki wako tu, bali na mtindo wako wa maisha kiujumla.
Tunapoongelea suala la msanii ni kioo cha jamii, wewe ndiye hasa unayefaa kuitwa kioo cha jamii.
Busara na hekima zako Mungu alizokujalia na kipaji chako ni tunu ya kipekee....hongera sana.
Naomba hekima hizo zisiishie kwenye mkutano wa leo tu, bali mikutano yote inayohusu chama cha CCM. Sitaki kuzungumzia hili zaidi maana hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuwaunga mkono viongozi na chama hiki kiujumla.
Naomba usinitie aibu mimi na mashabiki wenzangu kama yule mwenzio alivyowatia aibu na kuwakera mashabiki wake kwa kitendo chake cha kuonesha mahaba yake hadharani juu ya chama dhalimu cha Mapinduzi na mgombea wake Magufuli.
Kwa hili, nasema ASANTE SANA.
NAKUSHUKURU NA KUKUAHIDI KUWA SHABIKI WAKO MILELE!
MUNGU AKUBARIKI.
Wewe nawe ndio unajiona mjanjaaa!
Umejaa matusi na maroroso kama viongozi wa kile chama chenu cha mashirikina.
Dawa yenu inachemka.
UKAWA MBELE KWA MBELE!
Mtaacha vipi nyie vibaraka kuiga kejeli za viongozi wenu?
Kamwambie Mkapa tumeshukuru kwa matusi yake, nasi tutamjibu October 25.
UKAWA ni wajinga kabisa na hamujielewi. Na pia haamkujiandaaa. Mnawasaliti wanachama wenu ambao walikijenga Chama chenu kwa makapi yanayotoka CCM!!!!! ni dhahiri kuwa nyinyi wenyewe mumejiona kuwa ni dhaifu na hamuuziki kwa wananchi hivyo ili muuzike ni kwa kutumia makapi ya CCM kwani bado hana harufu nzuri inayowavutia wananchi. Sasa baada ya muda mfupi ujao hao waliokuja huko nao watakuwa wameshachuja kama walivyochuja hao waliotangulia kuja huko na moto wenu wa MABUA utazima kama alivyosema J.K. na siyo.mbali. baada tu ya kumuapisha MAGUFULI. Hapatakuwa tena na UKAWA. na badal yake utabaki UPEPEO. muungano wa UKAWA ni sawa na ndoa ya MKEKA. Yaani mahrusi wamefumaniwa bila ya maandalizi.