Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hujitambui. Unaota mchana. Kwamba LOWASSA ikulu atabakia kuitamani tu. Na keshavurugwa na yeye. Eti leo amepanda daladala gongola Mboto ili kujua kero za wananchi. Alikuwa wapi toka mwaka 1977??????
 
Hamna lolote nyinyi ni makapi tuuu. Mnatamani msivyoweza kuvipata. Lazima mchanganyikiwe mwaka huu. Na namba mtaisoma. Kudadadeki.
 
Huyo huwa ana kama kimuhe muhe, sehemu yeyote wakimtaja Kiba anachanganyikiwa kabisa

Kumbe? Nimeshangaa kaja na mambo ambayo hata sijayaongelea kabisa.
Wao watajijua wenyewe na domo wao wa CCM. Sisi King wetu walaaa hatuna wasiwasi.
 
Hamna lolote nyinyi ni makapi tuuu. Mnatamani msivyoweza kuvipata. Lazima mchanganyikiwe mwaka huu. Na namba mtaisoma. Kudadadeki.

Sasa kuvurugwa avurugwe yeye!
Povu likutoke wewe! Hopeless kabisa! ! Tulien hivo hivo ke.nge nyie
 
Sasa kuvurugwa avurugwe yeye!
Povu likutoke wewe! Hopeless kabisa! ! Tulien hivo hivo ke.nge nyie

Huyo popoma kama Lumumba wanampa buku 7 naona wanamuonea, wampe 20 maana povu analomwaga sio mchezo!
 
Huyo popoma kama Lumumba wanampa buku 7 naona wanamuonea, wampe 20 maana povu analomwaga sio mchezo!

Umemuona eeeh!
Daladala apande mwingine povu yeye huku gunia! Kweli lumumba kumejaa popomaz
 
Mtajijuuuu. Mumeishiwa nyinyi na msubiri. Ushindi wa CCM mwaka huu ni kuanzia 70%.ili kumshikisha adabu huyo babu yenu. Mpaka asseme kuwa CCM ndo baba yake na mama yake.
 
Mtajijuuuu. Mumeishiwa nyinyi na msubiri. Ushindi wa CCM mwaka huu ni kuanzia 70%.ili kumshikisha adabu huyo babu yenu. Mpaka asseme kuwa CCM ndo baba yake na mama yake.

Unakunjwa wewe!
Nina uhakika kuna ndugu zako wameshindwa pata elimu coz wewe popoma umenunuliwa kwa buku 7! Na hujawahi kujiuliza kwanini had leo wazazi wako wanatumia jembe la mkono!

Na huna muda coz umelidhika na kukunjwa! !
 
Hahahaaaaa, jamani! Haya majitu yanakera sana ila ulivyomjibu nimeishia kucheka tu.
 
Ungejua kuwa sisi sote kwenye familia yetu tumesoma. Mwenye elimu ndogo mpaka sasa kwetu yuko form five na yuko bright mno hivyo uwezekano wa yeye nae kufika university ni mkubwa kwa uwezo wa mungu.Na mimi mwenyewe nina Masters.
 
Kumbe? Nimeshangaa kaja na mambo ambayo hata sijayaongelea kabisa.
Wao watajijua wenyewe na domo wao wa CCM. Sisi King wetu walaaa hatuna wasiwasi.

Yani kuna huyu rafiki yako ananichekesha.Anaropoka tu, kama amepandwa maruhani, afu nkishaona kajina kake nascroll chini tu, najua ni pumba plus plus.
Ccm hamniambii kitu.
 
Hujitambui. Unaota mchana. Kwamba LOWASSA ikulu atabakia kuitamani tu. Na keshavurugwa na yeye. Eti leo amepanda daladala gongola Mboto ili kujua kero za wananchi. Alikuwa wapi toka mwaka 1977??????

mgonjwa kagombania daladala, yaani mulemule KIBA, LOWASSA, BTW tarehe 25 october ndo tutajua kama nimevurugwa ama la!
 
Mtaishia kuranda tu mtaaani na magwanda yenu.WEHU weli nyinyi. yaani mnaota kabisa kuwa lile lililotemwa na CCM ndo likakae IKULU!!! labda CCM iwe haipo ndo yule babu wenu ataigusa. Ila maadamu CCM Iko hai ni bora hata msiende kupiga kura. Manake matokeo tayari yashajulikana kabla hata kura hazijapigwa. Hivyo kura zenu hazitabadilisha kitu.
 
Ungejua kuwa sisi sote kwenye familia yetu tumesoma. Mwenye elimu ndogo mpaka sasa kwetu yuko form five na yuko bright mno hivyo uwezekano wa yeye nae kufika university ni mkubwa kwa uwezo wa mungu.Na mimi mwenyewe nina Masters.

Maskini.
Elimu yako haijakukomboa, unasemajee? TUTAJIJUUU....?
Utakua mkwere si bure wewe.
 
U hali gani Ali Kiba? Natumai u mzima kabisa na unaendelea vyema na shughuli zako za muziki.
Mimi kama shabiki/mpenzi na mfuasi wako napenda kukupongeza kwa kitendo chako cha kishujaa na chenye hekima cha kutokuhudhuria kwenye mkutano wa kuzindua kampeni na ilani za chama cha CCM uliofanyika leo jijini Dar Es Salaam katika viwanja vya Jangwani.

Leo mchana nilisikia tetesi kuwa utakuwepo jangwani, niliumia sana.
Niliamua kusitisha shughuli zangu zote leo ili niweze kuangalia mkutano huo niweze kuona kwa macho yangu kama utaweza kufanya onesho kwenye mkutano ule au lah!

Lakini hadi mwisho wa mkutano sijakuona kabisa, kwa hili nakupongeza sana Ali Kiba. Umenipa sababu za kukupenda na kuzidi kuupenda muziki wako mara dufu.
Kila mara huwa nasema kuwa siupendi mziki wako tu, bali na mtindo wako wa maisha kiujumla.

Tunapoongelea suala la msanii ni kioo cha jamii, wewe ndiye hasa unayefaa kuitwa kioo cha jamii.
Busara na hekima zako Mungu alizokujalia na kipaji chako ni tunu ya kipekee....hongera sana.

Naomba hekima hizo zisiishie kwenye mkutano wa leo tu, bali mikutano yote inayohusu chama cha CCM. Sitaki kuzungumzia hili zaidi maana hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuwaunga mkono viongozi na chama hiki kiujumla.

Naomba usinitie aibu mimi na mashabiki wenzangu kama yule mwenzio alivyowatia aibu na kuwakera mashabiki wake kwa kitendo chake cha kuonesha mahaba yake hadharani juu ya chama dhalimu cha Mapinduzi na mgombea wake Magufuli.

Kwa hili, nasema ASANTE SANA.
NAKUSHUKURU NA KUKUAHIDI KUWA SHABIKI WAKO MILELE!
MUNGU AKUBARIKI.

Keshatoa wimbo wa kampeni.... Nitautupia soon
 
Back
Top Bottom