Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitizamo inatofautiana wapo wanaozipenda hata watu wazima. Zamani alikuwepo mwimbaji mmoja anaimba nyimbo za kitoto za kipuuzi. Mr. Nice. Walikuwepo mashabiki wake wengi na aliuza sana.but mimi ilikuwa siwezi sikikiz nyimbo zake hata unipe na pesa.Sio kweli, Kwahyo unataka uniambie Ile Avengers Endgame iliyovunja Box office ni watoto wote walienda kuangalia wakajaza theatres?. Hayo ni mawazo yako binafsi na sio Facts Nakuomba Kaangalie Captain America Winter Soldier Haaf utasema kama umebaki na mwazo hayo hayo kuwa utoto
Mitizamo inatofautiana wapo wanaozipenda hata watu wazima. Zamani alikuwepo mwimbaji mmoja anaimba nyimbo za kitoto za kipuuzi. Mr. Nice. Walikuwepo mashabiki wake wengi na aliuza sana.but mimi ilikuwa siwezi sikikiz nyimbo zake hata unipe na pesa.
GOTHAM kuna jamaa anaitwa Penguin anafurahisha mno mtu wa fursa [emoji2][emoji2]Super human ambayo nliweza kuangalia ni GOTHAM peke yake. Hizi nyingine zinanishinda kabisa. Huwa naona zinafaa sana watoto.
Kama za marvel huzielewi za DC ndo huwezi kuzielewa kabisa, coz wapo parallel japo DC ni waongo sana, huko utakutana na kina Superman na mwenzake Batman na akina the Flash.. etc😀 niwaongo sanaMovie za Marvel sijawahi kuzielewa.
Kama za marvel huzielewi za DC ndo huwezi kuzielewa kabisa, coz wapo parallel japo DC ni waongo sana, huko utakutana na kina Superman na mwenzake Batman na akina the Flash.. etc[emoji3] niwaongo sana
Nmejaribu sana kuangalia baadhi ya series za mataifa mengine nmejikuta nashindwa kabisa hasa za:
1. Spain
2. Mexico
3. Philippines
4. Turkey
5. Korea
6. China
Hawa jamaa bado wana series za kitoto kitoto sana. Uhalisia unapotea kabisa. Ukichanganya na lugha ndo nakwazika kabisa kukaa niangalie motions na pia subs. Huwa nachoka.
Mexico na Spain huwa wana storie nzuri ila zinawashinda kuigiza. Kama Money Heist ilipasWa iiishie season 2 hasa hasa. Wakaivuta kipuuzi iwe ndefu na hali bado haikuwa that much serious. Idea ile wangepata watu wenye akili na serious wangetoa kitu kikali.
Nmejikuta nafurahia series kama
1. Breaking Bad
2. Better Call Saul
3. Ozark
4. Gangs of London
5. Rome
6. Carnivale
Etc. Pia nikiwa nmeangalia nyingi za wa Norway, Belgium, Canada. Hawa wanajitahidi. Ukiacha za USA na UK. Ambako pia huwa nikikuta zenye utoto utoto mwingi naachana nazo.
The 100 ilikuwa nzuri mwanzoni mpaka walipokuja iharibu seasons za hivi karibuni hasa season 7.
Binafsi sipendi niangalie Series uongo uwe wazi mpaka nianze kuona kuwa mtengenezaji aliniona mimi mtizamaji fala sana. Ni kunikosea heshima. Uongo unafaa kufanana na ukweli kabisa katika movies.
Ukitaka nisikae home kwako.rahisi sana.niwekee series/movie ya Nigeria,Ghana, Tanzania, South Africa,kihindi etc. Hizi huwa na upumbavu flani hivi wa kudhani watizamaji wote ni watoto wadogo.
Prison breakKama unapenda series za maana za watu wazima..
1.homeland
2.berlin
3.the americans
PB nlianza iangalia toka imeanza mpaka sasa.kama umeangalia Gangster of london basi kawaangalie na Peaky Blinders a.k.a wahun wa enz hizo za naintiini kweusi
maudhui yake ni maisha ya street gangs ya miaka ya late 1800's hadi 1910
series tamu sana hii ila nionavyo iliishia s3 tu ile s4 hakukua na umuhimu wa kuiendeleza japo haikua mbaya sana-Banshee S1
Gangs of london sijui kama namba 3 imetoka tyr? naisubir kwa hamu sana japo muafrica hawakumtendea haki alikufa kifo chepesi sanaPB nlianza iangalia toka imeanza mpaka sasa.
Bado.Gangs of london sijui kama namba 3 imetoka tyr? naisubir kwa hamu sana japo muafrica hawakumtendea haki alikufa kifo chepesi sana
Nipo naingalia, nimetokea kuvutiwa nayo sana. Vipi kwa upande wako umeionaje?Nmeingalia.
Hahahah. Kweli wanatuona kuwa hatujuiWahindi kuweni seriuos mmefikia hatua sasa mmeanza kutudharau.
Sawa tunajua ni maigizo na sio lazima yaendane na uhalisia, lakini ndo umchome mwenzio na ndizi mpaka damu zitoke hadi kufa?
Hizo risasi zinavyokwepwa sasa aaah!
View attachment 1795701
Hahahah. Kweli wanatuona kuwa hatujuiWahindi kuweni seriuos mmefikia hatua sasa mmeanza kutudharau.
Sawa tunajua ni maigizo na sio lazima yaendane na uhalisia, lakini ndo umchome mwenzio na ndizi mpaka damu zitoke hadi kufa?
Hizo risasi zinavyokwepwa sasa aaah!
View attachment 1795701