Hizi ni Series ambazo zimenishinda kabisa

Mitizamo inatofautiana wapo wanaozipenda hata watu wazima. Zamani alikuwepo mwimbaji mmoja anaimba nyimbo za kitoto za kipuuzi. Mr. Nice. Walikuwepo mashabiki wake wengi na aliuza sana.but mimi ilikuwa siwezi sikikiz nyimbo zake hata unipe na pesa.
 
Hahaha huo mfano: kuku kapanda baiskeli bata....
 
Super human ambayo nliweza kuangalia ni GOTHAM peke yake. Hizi nyingine zinanishinda kabisa. Huwa naona zinafaa sana watoto.
GOTHAM kuna jamaa anaitwa Penguin anafurahisha mno mtu wa fursa [emoji2][emoji2]
 
Movie za Marvel sijawahi kuzielewa.
Kama za marvel huzielewi za DC ndo huwezi kuzielewa kabisa, coz wapo parallel japo DC ni waongo sana, huko utakutana na kina Superman na mwenzake Batman na akina the Flash.. etc😀 niwaongo sana
 
Kama za marvel huzielewi za DC ndo huwezi kuzielewa kabisa, coz wapo parallel japo DC ni waongo sana, huko utakutana na kina Superman na mwenzake Batman na akina the Flash.. etc[emoji3] niwaongo sana

At least Batman yuko fresh
 
kama umeangalia Gangster of london basi kawaangalie na Peaky Blinders a.k.a wahun wa enz hizo za naintiini kweusi

maudhui yake ni maisha ya street gangs ya miaka ya late 1800's hadi 1910
 
Kama unapenda series za maana za watu wazima..
1.homeland
2.berlin
3.the americans
Prison break
Jumong
Hizo zenu zote ni za kitoto kwa uwezo wao wa akili labda tena kwa kuwapendelea walau kidogo zingefikia za t bag wa pb. Michael Scofield mwisho wa matatizo. Series kali siku zote haina mpinzani. Au nasema uongo ndugu zanguni......
 
kama umeangalia Gangster of london basi kawaangalie na Peaky Blinders a.k.a wahun wa enz hizo za naintiini kweusi

maudhui yake ni maisha ya street gangs ya miaka ya late 1800's hadi 1910
PB nlianza iangalia toka imeanza mpaka sasa.
 
PB nlianza iangalia toka imeanza mpaka sasa.
Gangs of london sijui kama namba 3 imetoka tyr? naisubir kwa hamu sana japo muafrica hawakumtendea haki alikufa kifo chepesi sana
 
Hahahah. Kweli wanatuona kuwa hatujui
 
Hahahah. Kweli wanatuona kuwa hatujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…