Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Kusajili jina la biashara Kuna hitaji taarifa muhimu ikiwemo;
1. Jina la Biashara
Hapa unatakiwa kuweka jina la biashara ambalo halifanani na jina lingine (Uzi wa siku ingine)
2. Anuani ya biashara
Hapa una specify ni wapi hasa biashara yako itakuwepo.
Kama huna sehemu maalumu kama ofisi utajaza anuani ya nyumbani kwako.
3. Taarifa zako binafsi
Hizi zitapatikana utakapoweka namba yako ya NIDA, utaongeza tuu email na namba ya simu.
4. Anuani yako.
PS: hizi ni taarifa kama unasajili jina la biashara as a sole proprietor.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara zao, kupata TIN na leseni.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa jina la biashara unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.