Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi?

Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa au kunani hasa?
Screenshot_20250105-184455_Chrome.jpg
Screenshot_20250105-184749_Chrome.jpg
Screenshot_20250105-203235_Chrome.jpg
Screenshot_20250105-184658_Chrome.jpg
 
Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi?

Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa au kunani hasa?View attachment 3193469View attachment 3193470View attachment 3193471View attachment 3193472
Maendeleo yanaendana na MAZINGIRA ,HALI YA HEWA na tamaduni husika.....

Uwe kule kwenye baridi kali STAVENGER NORWAY halafu ujenge nyumba za NYASI kama hizi za chini ya JANGWA LA SAHARA ?!! Khaaa

Yaani uko kule Darfur halafu ujenge majengo yanayofanana na kule Finland?!!!

Kila jamii ina maendeleo yanayoendana na jamii yao.....

Eti mwarabu AITWE mshamba kwa kuwa HAJAVAA "SUTI" akiwa anachunga kondoo wake kule majangwani CHAD?!!!ha ha ha
 
Afrika kuna sehemu imekwama tusijipe faraja mkuu.
 
Maendeleo yanaendana na MAZINGIRA ,HALI YA HEWA na tamaduni husika.....

Uwe kule kwenye baridi kali STAVENGER NORWAY halafu ujenge nyumba za NYASI kama hizi za chini ya JANGWA LA SAHARA ?!! Khaaa

Yaani uko kule Darfur halafu ujenge majengo yanayofanana na kule Finland?!!!

Kila jamii ina maendeleo yanayoendana na jamii yao.....

Eti mwarabu AITWE mshamba kwa kuwa HAJAVAA "SUTI" akiwa anachunga kondoo wake kule majangwani CHAD?!!!ha ha ha
Kwa hiyo hizi nyumba za tembe ni sababu ya hali ya hewa 😙 Africa tuna njaa za head
 
You have gone too far...

Maendeleo ni mchakato wa mahitaji ya watu husika , mazingira na changamoto zao....
Usitetee ujinga waafrica pamoja na viongozi wetu hawana mipango yeyote ya maendeleo zaidi ya ubadhirifu,rushwa,anasa na starehe, kuna sababu gani za kutoa mil 5 kwa goli ilihali kuna shule hazina vyoo wala ofisi za walimu? Vituo vya afya havina hata utrasound kifaa cha kawaida kabisa, Ujinga tuu.
 
Watu wata-adapt kutokana na mazingira. Hao waafrika wametumetumia tope na nyasi sababu ndio vitu abundance kwenye mazingira yao. Hao wengine wametumia mbao sababu mazingira yao yameruhusu. Hao wengine wametumia mawe sababu wamezungukwa na mawe. Tumia ubongo wako aisee.

Kama ulitaka kusema Waafrika ikiwemo wewe hawana akili. Basi umefanikiwa kwa upande wako.
 
Back
Top Bottom