Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wewe unaishi kwenye picha namba moja hapo??seriously,nakerwa mno na hizi tabia za afrika kukataa asili/utamaduni kuubadilisha kabisa wakisingizia neno maendeleo.
hatuna ulazima wa kufanana na wenzetu muhimu ni usalama wa makazi tu.
Hapo kwenye corruption pawe bolded kabisa.Environmental factors, colonialism, urbanization, bad governance, corruption..
Maendeleo yanaendana na MAZINGIRA ,HALI YA HEWA na tamaduni husika.....Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi?
Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa au kunani hasa?View attachment 3193469View attachment 3193470View attachment 3193471View attachment 3193472
Afrika kuna sehemu imekwama tusijipe faraja mkuu.Maendeleo yanaendana na MAZINGIRA ,HALI YA HEWA na tamaduni husika.....
Uwe kule kwenye baridi kali STAVENGER NORWAY halafu ujenge nyumba za NYASI kama hizi za chini ya JANGWA LA SAHARA ?!! Khaaa
Yaani uko kule Darfur halafu ujenge majengo yanayofanana na kule Finland?!!!
Kila jamii ina maendeleo yanayoendana na jamii yao.....
Eti mwarabu AITWE mshamba kwa kuwa HAJAVAA "SUTI" akiwa anachunga kondoo wake kule majangwani CHAD?!!!ha ha ha
Kwa hiyo hizi nyumba za tembe ni sababu ya hali ya hewa 😙 Africa tuna njaa za headMaendeleo yanaendana na MAZINGIRA ,HALI YA HEWA na tamaduni husika.....
Uwe kule kwenye baridi kali STAVENGER NORWAY halafu ujenge nyumba za NYASI kama hizi za chini ya JANGWA LA SAHARA ?!! Khaaa
Yaani uko kule Darfur halafu ujenge majengo yanayofanana na kule Finland?!!!
Kila jamii ina maendeleo yanayoendana na jamii yao.....
Eti mwarabu AITWE mshamba kwa kuwa HAJAVAA "SUTI" akiwa anachunga kondoo wake kule majangwani CHAD?!!!ha ha ha
You have gone too far...Kwa hiyo hizi nyumba za tembe ni sababu ya hali ya hewa 😙 Africa tuna njaa za head
Tulipo kwama ni kwenye mifumo ya utawala ,wengi ni wala rushwa na wabadhirifu wa mali za umma na kuoenda maisha ya anasa mAfrika kuna sehemu imekwama tusijipe faraja mkuu.
Usitetee ujinga waafrica pamoja na viongozi wetu hawana mipango yeyote ya maendeleo zaidi ya ubadhirifu,rushwa,anasa na starehe, kuna sababu gani za kutoa mil 5 kwa goli ilihali kuna shule hazina vyoo wala ofisi za walimu? Vituo vya afya havina hata utrasound kifaa cha kawaida kabisa, Ujinga tuu.You have gone too far...
Maendeleo ni mchakato wa mahitaji ya watu husika , mazingira na changamoto zao....
Ukisikia mbuzi kagoma kwenda, huyu kweli kagoma🤔🤔🤔😂🤣Clearly we are cursed View attachment 3193496
Wewe unakaa kwenye mdule sasa hivi? Wewe ukipita dar unaona nyumba za udongo? Embu tumia akili yako kutengeneza hitimisho lako mwenyewe badala ya kufuata mkumbo. Sababu huko ndio kulaaniwa kwenyewe.Clearly we are cursed View attachment 3193496