Hizi ni timu ziliokula goli Tano mwaka 2023/2024 Simba imo

Hizi ni timu ziliokula goli Tano mwaka 2023/2024 Simba imo

MINARA IMESIMA
Yanga 5_1 Asas
Yanga 5_0 JKT
Yanga 5_0 KMC
Yanga 5_1 Simba
Yanga 5_0 Jamhuri
Yanga 5_1 Housing
Yanga 5_0 Police tz
.
ndiyo vibonde walio kutana na yanga kichwa kichwa

Nackia makolo watakula Tena[emoji113][emoji113]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kumbe huu uzi ndiyo umesababisha baadhi ya watu kuanza kuweweseka hovyo! 😁
 
Usisahau kuweka na hizi kumbukumbu muhimu kwenye uzi wako ili kubalansi mzani.
IMG-20230908-WA0083.jpg
IMG-20231106-WA0002.jpg
 
MINARA IMESIMA
Yanga 5_1 Asas
Yanga 5_0 JKT
Yanga 5_0 KMC
Yanga 5_1 Simba
Yanga 5_0 Jamhuri
Yanga 5_1 Housing
Yanga 5_0 Police tz
.
ndiyo vibonde walio kutana na yanga kichwa kichwa

Nackia makolo watakula Tena[emoji113][emoji113]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Baadae IHEFU nae alikula 5
 
Back
Top Bottom