Hizi ni timu zinazopewa uwezekano mkubwa kubeba kombe la CAFCL

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji599].....||[emoji408]| ๐–ต๐–จ๐–ซ๐– ๐–ก๐–ด ๐–ต๐–จ๐–ญ๐– ๐–ต๐–ธ๐–ฎ๐–ถ๐–ค๐–น๐–  ๐–ช๐–ด๐–ข๐–ง๐–ด๐–ช๐–ด๐–  ๐–ด๐–ก๐–จ๐–ญ๐–ฆ๐–ถ๐–  ๐–ข๐– ๐–ฅ ๐–ข๐—๐–บ๐—†๐—‰๐—‚๐—ˆ๐—‡๐—Œ ๐—…๐–พ๐–บ๐—€๐—Ž๐–พ 2023/2024..

- Taasisi mbali mbali zinazojihusisha na TAKWIMU za Mpira barani Afrika, zimetoa Orodha ya timu ambazo kwa asilimia kubwa zinatizamiwa kuwa na uwezo Mkubwa wa kutwaa Ubingwa wa Mashindano ya CAF Champions league Msimu huu 2023/2024..

[emoji2389]. Name: MAMELOD SUNDOWNS
[emoji550]. Country: Pritoria, South Afrika [emoji1221]
[emoji408]. Percentage (Winning):97%)

[emoji2390]. Name: AL AHLY SC
[emoji550]. Country: Cairo, Egypt [emoji1093]
[emoji408]. Percentage (Winning): 95%

[emoji2391]. Name: CR BELOUZDAD
[emoji550]. Country: Algeria [emoji1026]
[emoji408]. Percentage (Winning): 90%

[emoji2392]. Name: YANGA SC
[emoji550]. Country: Dar es salaam, Tanzania [emoji1241]
[emoji408]. Percentage (Winning): 85%

[emoji2393]. Name: ATRร‰TICO PETRร“LEOS
[emoji550]. Country: Angola [emoji1029]
[emoji408]. Percentage (Winning): 84%

[emoji2394]. Name: ESPร‰RANCE DE TUNIS
[emoji550]. Country: Tunis, Tunisia [emoji1249]
[emoji408]. Percentage (Winning): 72%

[emoji2395]. Name: ASEC MIMOSAS
[emoji550]. Country: San pedro, Ivory coast [emoji1081]
[emoji408]. Percentage (Winning): 53%

[emoji2396]. Name: PYRAMIDS FC
[emoji550]. Country: Cairo, Egypt [emoji1093]
[emoji408]. Percentage (Winning): 41%

[emoji2397]. Name: TP MAZEMBE
[emoji550]. Country: Kishansa, Congo [emoji1078]
[emoji408]. Percentage (Winning): 30%

[emoji647]. Name: SIMBA SC
[emoji550]. Country: Dar es salaam, Tanzania [emoji1241]
[emoji408]. Percentage (Winning): 17%

[emoji2389][emoji2389]. Name: AL HILAL
[emoji550]. Country: Kaltum, Sudan [emoji1232]
[emoji408]. Percentage (Winning): 06%

[emoji2389][emoji2390]. Name: JWANENG GALAXY
[emoji550]. Country: Botswana [emoji1052]
[emoji408]. Percentage (Winning): 01%
.
- Tafiti hizi zimefanywa kwa Usahihi mkubwa kwa kuzingatia Ubora wa vilabu husika, na tafiti hizi pia zimechambuliwa na kutolewa na taasisi mbali mbali zinazo jihusisha na Masuala ya SOKA barani Afrika.

[emoji1428] Chama lako limepewa asilimia ngapi za kuchukua Ubingwa wa CAF Champions league Msimu huu.. (Tukutane kwenye comment..)

[emoji3544]NB: Kwa hii tabia ya kumtegemea CHAMA JR kwenye kila Mechi, simba sc akifuzu hatua ya ROBO FAINALI niulizwe mimi.. [emoji16]
[emoji991]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yanga labda watume vijini vikaliibe
 
Hizo percentage zilizoandikwa zimefuta uhalali wa zoezi zima.
 
Timu inayopewa nafasi ya kufika hatua ya fainali inapimwa kwa winning prediction kwenye mechi muhimu.

Sasa angalia kati ya hizo timu ni zipi zinazopewa asilimia nyingi za kupata ushindi kwenye mechi za wiki hii.

Kumbuka mechi za wiki hii ndio zinazoweza kuamua hatima ya timu kuendelea na mashindano au kuaga.

Kwa mujibu wa forebet mechi ya Yanga vs Cr Belouzidad prediction


Hata wale wanenu wa takwimu za milion 35 wameshindwa kuwadhamini.



Kwa matokeo hayo maana yake Yanga sio tu kuwa haiwezi kufikiriwa kuchukua ubingwa bali hata kuvuka hatua ya makundi ni mtihani.
 
Utafiti hujibiwa kwa utafiti.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kesho saa tatu usiku lawama zitakua zinashushwa kwa mwamnyeto,gudegude na yawho yawho kwa kuchomesha
 
Utopowox katika ubora wao...yani asilimia 85 walai....jiti...yani A.....yelewiiii
 
Ndo hivyo mkuu....sisi ni nani tupinge takwimu [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ