Hizi ni timu zinazopewa uwezekano mkubwa kubeba kombe la CAFCL

Timu inayopewa nafasi ya kufika hatua ya fainali inapimwa kwa winning prediction kwenye mechi muhimu.

Sasa angalia kati ya hizo timu ni zipi zinazopewa asilimia nyingi za kupata ushindi kwenye mechi za wiki hii.

Kumbuka mechi za wiki hii ndio zinazoweza kuamua hatima ya timu kuendelea na mashindano au kuaga.

Kwa mujibu wa forebet mechi ya Yanga vs Cr Belouzidad prediction
View attachment 2913047

Hata wale wanenu wa takwimu za milion 35 wameshindwa kuwadhamini.

View attachment 2913050

Kwa matokeo hayo maana yake Yanga sio tu kuwa haiwezi kufikiriwa kuchukua ubingwa bali hata kuvuka hatua ya makundi ni mtihani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nitaje first eleven ya yanga itayochukua ubingwa wa cafcl.

Makata,subiani,maimuna,kibwengo,chumaulete,insyuka,shetani,baphomet,dakunda,kinyamkela,zinduna
 
Timu inayopewa nafasi ya kufika hatua ya fainali inapimwa kwa winning prediction kwenye mechi muhimu.

Sasa angalia kati ya hizo timu ni zipi zinazopewa asilimia nyingi za kupata ushindi kwenye mechi za wiki hii.

Kumbuka mechi za wiki hii ndio zinazoweza kuamua hatima ya timu kuendelea na mashindano au kuaga.

Kwa mujibu wa forebet mechi ya Yanga vs Cr Belouzidad prediction
View attachment 2913047

Hata wale wanenu wa takwimu za milion 35 wameshindwa kuwadhamini.

View attachment 2913050

Kwa matokeo hayo maana yake Yanga sio tu kuwa haiwezi kufikiriwa kuchukua ubingwa bali hata kuvuka hatua ya makundi ni mtihani.
Naona unajitahidi kutaka kumfunika ndugu yako OkwiBobanSunzu!!
 
Daah makolo chama langu tumewakosea nini watu wa takwimu.

Hivi sisi ni wa kupewa asilimia 17 kweli!
Sasa kama timu nzima inamtegemea mchezaji mmoja tu, tena ni kiungo konokono anayeitwa Clotus Chama! Ndiyo utegemee maajabu!!
 
Back
Top Bottom