Hizi ni timu zinazopewa uwezekano mkubwa kubeba kombe la CAFCL

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nitaje first eleven ya yanga itayochukua ubingwa wa cafcl.

Makata,subiani,maimuna,kibwengo,chumaulete,insyuka,shetani,baphomet,dakunda,kinyamkela,zinduna
 
Naona unajitahidi kutaka kumfunika ndugu yako OkwiBobanSunzu!!
 
Daah makolo chama langu tumewakosea nini watu wa takwimu.

Hivi sisi ni wa kupewa asilimia 17 kweli!
Sasa kama timu nzima inamtegemea mchezaji mmoja tu, tena ni kiungo konokono anayeitwa Clotus Chama! Ndiyo utegemee maajabu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…