Hizi njemba(hawa ma-legend) za JF zinatufanya kizazi cha sasa tuonekane tuna upeo mdogo wa kufikiri

Wacha ujinga ww,kama umeijua jf mwaka jana je jukwaa la wakubwa unalifahamu?,na je ulishawahi kulitembelea?
Ndio nalifahamu... Kuna akina maroon7, Cookie smokey, ,mswafwa93, notable members hao😅🏃🏃
 
Mshana Jr sio mzee ana miaka 40 tu sasa huyo mnamuitaje legend sema yupo na Maarifa Mengi kwa kichwa
Kwan mshana huw ni mtu au taasisi. Mana naonaga amejaa kote kote.
Sasa fikiria hali itakuweje serkali inaondoa na mitihan ya darasa la 7.
Zaman nilkuwa najiuliza mtu akishika smartphone ina bando huwa anaperuzi wapi kupata maarifa/taarifa mchanganyiko kama si jf?
Kwa sasa nakosa nguvu ya kumlaumu.
Hata hivyo bado ninahofia jf ilishakuwa compromised kwa kuruhusu contents zinazochujwa kimlengo. Huenda melo alishawekewa wa kitengo ubavun baada ya kesi zake.( nkugendeile takulugao busha!)
 
Umesahau Genta mzee wa ban, pamoja na Faiza Fox na Mzee Mohamed wenye mihemko na maudini
 
MALCOM LUMUMBA hapo Sina Cha kuongeza.
Huyu jamaa ni mtu na nusu
Duuuh, nawashukuru sana ndugu zangu........
 
Kadiri unavyosoma Sana ndivyo ubongo wako unavyozidi kutumika na kuwa Bora zaidi.📌💪🏿🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…