Mungu anasikia maombi ya wenye HAKI Mungu anasikia vilio na mateso ya wenye haki ,Hakuna binadamu bora zaidi ya mwingine ,kila mtu ATAVUNA ALICHOPANDA ,Malipo ni hapahapa duniani.Watesi wanaodhulumu haki za wengine ma kuwatesa,kuwateka na kuwauwa watu,kuwafunga magerezani,kubomoa makanisa ,kukataza waumini wa dini nyingine wasiamuabudu Mungu wa kweli aliye haki,kufisadi na kufuja fedha za wanyonge walipa kodi mafukara,kuuza rasilimali na urithi wa masikini wanyonge,kukopa mikopo mikubwa kwa dhamana ya masikini walipe deni la taifa huku hizo fedha zikitapanywa na kuliwa na wachache,familia wanawake walioachwa wajane kwa waume zao kutekwa na kuuwawa bila hatia DAMU ZAO zisizo na hatia zinamlilia Mungu zikidai haki,watoto walioachwa wadogo yatima wakipoteza baba zao waliotekwa na kuuwawa ,
MACHOZI YOTE HAYA YA WALIO ONEWA/UMIZWA YANAFIKA MBELE ZA MUNGU KILA SEKUNDE YANALALAMIKA NA KUPIGA KELELE YA KUDAI HAKI HAKI HAKI...HAKI......HAKI.....HAKI....HAKI...
HAKI......
.....HAKI.....
.....HAKI....
...HAKI...
HAKI.....HAKI....HAKI....HAKI....HAKI...HAKI..