Hizi nyimbo ni za aina gani?

Hizi nyimbo ni za aina gani?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Habari wakuu,

Naomba msaada wenu vijana wa miaka miaka 80 na 90. Nasikia kipindi hiko kuna muziki ulikuwa unaitwa chachacha sijui chakacha. Ninataka kufahamu officially genre ya hizo nyimbo zinaitwaje ili niweze kuzipakua. Kama unajua nyimbo hizo orodhesha.

Baadhi ya nyimbo hizo ni hii

Vannesa paradis alikua mke wa mwigizaji Johhny Depp
Screenshot (1).png
 
mkuu sijui ni genre gani ila haiwezi kuwa chakacha maana chakacha ni muziki wa East Africa. ila nyyimbo nyingi maarufu huchanganya genres hivyo huwezi kuzidefine kwa aina moja.
 
Chakacha nazani ni mduara walikua wanapiga wakina njenje au wakina omari mkali bwana chuchu ha ha ha ha ha longtime sana
 
Aisee hizi nyimbo zimenikumbusha mbali sana zamani life was so good miaka 1989 n1990 kule da i wish niludi udogo
 
Chakacha nazani ni mduara walikua wanapiga wakina njenje au wakina omari mkali bwana chuchu ha ha ha ha ha longtime sana
Chakacha yalikua mambo ya mwambao kenya, mombasa
 
mkuu sijui ni genre gani ila haiwezi kuwa chakacha maana chakacha ni muziki wa East Africa. ila nyyimbo nyingi maarufu huchanganya genres hivyo huwezi kuzidefine kwa aina moja.
Basi mm nilipenda kama hzo zenye mtindo wa huyo vanesa paradis..Ningepata ningefurah mno
 
Back
Top Bottom