Chakacha yalikua mambo ya mwambao kenya, mombasaChakacha nazani ni mduara walikua wanapiga wakina njenje au wakina omari mkali bwana chuchu ha ha ha ha ha longtime sana
Basi mm nilipenda kama hzo zenye mtindo wa huyo vanesa paradis..Ningepata ningefurah mnomkuu sijui ni genre gani ila haiwezi kuwa chakacha maana chakacha ni muziki wa East Africa. ila nyyimbo nyingi maarufu huchanganya genres hivyo huwezi kuzidefine kwa aina moja.
Mkuu kuna hii i dont know much ya linda Ronstadt and AaronBasi mm nilipenda kama hzo zenye mtindo wa huyo vanesa paradis..Ningepata ningefurah mno
Corozon de papel by julioOrodhesha nyimbo kazaa basi nizipakue