Habari wanajamiiforum naomba kujua kwa aliye fuatilia alison online couse,faida yake kwa hapa Tanzania niipi?
https://alison.com/
https://alison.com/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vipi kuhusu nchi yetu ina weza kuzitambua kweli au ni kwaajiri ya Faida ya mtuKuna kozi nilisima humo, ni recorded lectures na pia notes kwa kila module. Mwishoni ndio kulikuwa na assignment na ili kufaulu ilihitaji kupata 80%. Vyeti ndio wanauza vikiwa framed na pia as PDF
OkFaida yako zaidi sector binafsi...
Inapamba CV na kuongeza ujuzi piaNa vipi kuhusu nchi yetu ina weza kuzitambua kweli au ni kwaajiri ya Faida ya mtu
Sawa ngoja nisome sasaInapamba CV na kuongeza ujuzi pia
Ikipata labda certificate ya pharmacy technician kutoka alison ,je naweza kuajiriwa nchini au kujiajiri sector binafsi bila kubughudhiwa na mamlaka za afya!?Faida yako zaidi sector binafsi...
Hpana mkuu Ila unaweza kupata Ajira Kwa taasisi za mabeberuN
Ikipata labda certificate ya pharmacy technician kutoka alison ,je naweza kuajiriwa nchini au kujiajiri sector binafsi bila kubughudhiwa na mamlaka za afya!?
Nashukuru sana kwa ufafanuziHpana mkuu Ila unaweza kupata Ajira Kwa taasisi za mabeberu