Hizi "Pentecostal Churches" ndiyo chanzo cha Ukristo kupotea duniani

Hizi "Pentecostal Churches" ndiyo chanzo cha Ukristo kupotea duniani

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Baada ya kusoma na kucheki video mbali mbali, nimekuja kugundua kuna dini mbili za Ukristo tu. Yaani nina maana dini ambazo zimeshika sheria za Ukristo na tamaduni zake ambazo ni Catholic Church pamoja Orthodox Christian Church.

Hizi ndo dini mbili za Ukristo tu lakini hizi Pentecostal Churchs nina mashaka nazo kabisa.

Ifike hatua kukitokea nabii katika hizi dhehebu za Kipentekoste na matendo yake ni tofauti na jinsi Biblia inavyo tuongoza ni bora aje na kitabu chake kutoka kwa Mungu wake kama manabii wengine wa kale kuliko ivi wanavyo kuja kutafsiri Biblia tofauti ni kuchafua Ukristo na kutufanya tuonekane vituko duniani kwasababu yao leo Ukristo unaonekana kituko.

Mhuni fulani akipigwa na njaa naye yeye anafungua kanisa lake anakuwa anawauzia watu mafuta na mengine kwa mgogo wa Ukristo
 
Kaka kama wewe umeshtukia heri yako kuna mazuzu yanawapelekea hao waganga njaa hadi magari ohoooo, wakikusikia watamaindi, ni kweli kabisaaaa kuna watu wamevurugikiwa na manabii wa kisela kama hawa kina mafuta sijui keki mara nywele za sehemu za siri, yaani mvurugano mkubwa na serikali ziko kimya tu ndio maana umasikini unazidi. Mwamba kagame peke yake anataka mtu asomee ilmu ya dini na pia atangaze kitu cha kueleweka sio maluweluwe.
 
Baada ya kusoma na kucheki video mbali mbali
Nimekuja kugundua kuna dini mbili za Ukristo tu
Yaani nina maana dini ambazo zimeshika sheria za Ukristo na tamaduni zake
Ambazo ni Catholic Church
Pamoja orthodox christian Church

Hizi ndo dini mbili za Ukristo tu
Lakini hizi pentecost Churchs nina mashaka nazo kabisa

Ifike hatua kukitokea nabii katika hizi dhehebu za Kipentekoste na matendo yake ni tofauti na jinsi Biblia inavyo tuongoza ni bora aje na kitabu chake kutoka kwa Mungu wake kama manabii wengine wa kale kuliko ivi wanavyo kuja kutafsiri Biblia tofauti ni kuchafua Ukristo na kutufanya tuonekane vituko duniani kwasababu yao
Leo Ukristo unaonekana kituko
Mhuni fulani akipigwa na njaa naye yeye anafungua kanisa lake anakuwa anawauzia watu mafuta na mengine kwa mgogo wa Ukristo
Mungu hanq dini hata moja , ukristo mana yake ni Yesu kristo , huhitaji dalali wa kidini kumfikia , ashavunja huo udalali ,wewe moja kwa moja unamfata na anakusikia
 
Wote hao unaowataja sio wakristo na hawafuati Biblia.Mfano Wakatoliki wa Kirumi(Roman Catholics) ndio kabisaaa wako nje kabisa ya Biblia na hao wapentekoste unaowasema ni watoto wa RC hivyo ni vitengo vya RC katika muktadha wa Kikarismatiki.Maana wote wanaamini katika utatu mtakatifu,maji na mafuta.Hayo yote RC wanayo(Maji ya baraka na mafuta ya Karisma).Ila Wapentekoste kwa sababu ya utoto baada ya kuelekezwa na mama yao wao wamezidisha mbwembwe hadi wanataka kumharibia mama yao.Hivyo bifu na ushindani kati ya Wapentekoste,Wasabato na wengineo kulishambulia kanisa katoliki ni ugomvi wa kifamilia ambao hautuhusu.Ndio maana kuna CCT,WCC,WCPC na wote hukutana kwenye vikao vyao vya familia.Unaona hata pasaka inatumia kalenda ya Kikatoliki ndio maana hata sasa wote wako kwenye kwaresma.
 
Nadhani Wamarekani walidhamiria kuua ukatoliki mwishowe wakajikuta wanataka kuua ukristo
 
Baada ya kusoma na kucheki video mbali mbali, nimekuja kugundua kuna dini mbili za Ukristo tu. Yaani nina maana dini ambazo zimeshika sheria za Ukristo na tamaduni zake ambazo ni Catholic Church pamoja Orthodox Christian Church.

Hizi ndo dini mbili za Ukristo tu lakini hizi Pentecostal Churchs nina mashaka nazo kabisa.

Ifike hatua kukitokea nabii katika hizi dhehebu za Kipentekoste na matendo yake ni tofauti na jinsi Biblia inavyo tuongoza ni bora aje na kitabu chake kutoka kwa Mungu wake kama manabii wengine wa kale kuliko ivi wanavyo kuja kutafsiri Biblia tofauti ni kuchafua Ukristo na kutufanya tuonekane vituko duniani kwasababu yao leo Ukristo unaonekana kituko.

Mhuni fulani akipigwa na njaa naye yeye anafungua kanisa lake anakuwa anawauzia watu mafuta na mengine kwa mgogo wa Ukristo
kanisa katoliki lisijifiche nyuma ya madhaifu ya makanisa feki ya kipentekoste. Tumeshuhudia mapadre wengi tu wakifanya mambo ya ajabu na bado wanaendelea na huduma.Tumeshuhudia watendaji wengi tu ndani ya kanisa wakifanya mambo ya aibu na kuumiza.

Hoja ya msingi ingekuwa ni kwa namna gani imani zilizopo au zinazoibuka zinaendana na maelekezo kutoka kwenye Biblia.Its clear kuwa kanisa katoliki limesema limechota mafundisho yake kutoka katika Biblia na Mapokeo matakatifu,kama ilivyo kwa dini ya ndugu zetu waislam wanachota mafundisho yao kutoka katika Quran na Hadith.

On the other hand, makanisa ya kiprotestant yakiwemo na makanisa ya kipentecoste yanachota mafundisho yake kutoka kwenye Biblia takatifu pekee. Kitu chochote ambacho kinakinzana na mafundisho rasmi kutoka kwenye Biblia takatifu hakikubaliki.Aya za Biblia zitatafsiri na aya nyingine za Biblia na sio kuongeza mapokeo mengine kuja kutafsiri yaliyoandikwa kwenye BIBLIA.

kama ambavyo kuna mapadri au watendaji wa makanisa walioleta mambo yao ndani ya kanisa na kulifanya lionekane la kishenzi,vivo hivyo kuna Pastors ambao kwa sababu ya ubinadamu wao wameleta mambo yao na kufanya makanisa yote ya Pentekoste yaonekane ya kishenzi.Hivyo basi tulihukumu kanisa katokana na msingi wake wa imani na mafundisho yake na sio kwa kumtazama mchungaji mmoja mmoja.

Makanisa ya Kipentecoste yanaamini
1. Bible as the sole authority (Hakuna kitabu kingine cha kutoa mwongozo wala ufafanuzi juu ya jambo lolote kuhusu imani)
2.Kuna Mungu mmoja nafsi tatu(Baba, Mwana na Roho Mtakatifu)
3.Tumeokolewa kwa neema na si kwa matendo ya sheria
4.Yesu Kristu ni Mungu.
5.Roho Mtakatifu ni Mungu
 
Wote hao unaowataja sio wakristo na hawafuati Biblia.Mfano Wakatoliki wa Kirumi(Roman Catholics) ndio kabisaaa wako nje kabisa ya Biblia na hao wapentekoste unaowasema ni watoto wa RC hivyo ni vitengo vya RC katika muktadha wa Kikarismatiki.Maana wote wanaamini katika utatu mtakatifu,maji na mafuta.Hayo yote RC wanayo(Maji ya baraka na mafuta ya Karisma).Ila Wapentekoste kwa sababu ya utoto baada ya kuelekezwa na mama yao wao wamezidisha mbwembwe hadi wanataka kumharibia mama yao.Hivyo bifu na ushindani kati ya Wapentekoste,Wasabato na wengineo kulishambulia kanisa katoliki ni ugomvi wa kifamilia ambao hautuhusu.Ndio maana kuna CCT,WCC,WCPC na wote hukutana kwenye vikao vyao vya familia.Unaona hata pasaka inatumia kalenda ya Kikatoliki ndio maana hata sasa wote wako kwenye kwaresma.
wapentekoste hawatambui funga ya kwaresma na si wanachama wa CCT na WCC, labda WCPC. Wapentekoste ndio wanaojipambanua kuwa wana wokovu
 
"Maria mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu, Amina"...

Mleta mada ukiweza nionesha kwenye bible ni wapi Maria kapewa jukumu la kuombea wakosefu, nitashukuru
 
Back
Top Bottom