Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Habari za muda huu watu
Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu.
Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza fanya kampeni baada ya jina lake kupitishwa na ili aweze fanya kampeni huku akisindikizwa na watu wengi lazma awe anatoa kakitu kidogo.
Mfano miaka hio bado alcohol za viroba zipo
Unakuta baada ya kupita hostel kadhaa Basi box za viroba zinafunguliwa mnapewa ili mpate nguvu ya kuimba na mgombea wenu vizuri, huko huko hawakosekani watoto wa panya wanafata viroba, bia, mirung**, ila kura hawapigi.
Na chaguzi hapa nchini huwa naona chama hichi chenye nanilii huwa wanatumia pesa Sana unakuta Ni diwani tu ila hizo pesa dhuu Hadi unauliza inamaana hizi zimetoka makao makuu huko , mfano Kuna thread niliona inasema kwamba chama kile kilienda omba kukopeshwa fedhanza chaguzi Sasa najiuliza hizo pesa Ni nchi nzima chama hiko kitapewa au wanataka kwa ajili ya mgombea wao wa uraisi tu ? Je zile hongo wabunge, madiwani wanatoa Ni pesa zao mfukoni au inakuaje hapo?
Kuna mmoja aliweka sufuria kubwa kumi za pilau.
Na gari ndogo za kutoa soda depot kusambaza mtaani likapaki hapo usiondoke tu na chupa.
Nilifikiria hio pesa Basi najua wanavuna zaidi ya hapo wakipata nafasi.