Hizi pete za JK, Lowasa zoote hizi ni za nini?

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Hawa walikuwa ni maswahiba sana kabla ya uswahiba wao kuingiliwa na self interests!

Huwa najiuliza sana kwanini mara zote wawili hawa huvaa pete mbili za ndoa moja mkono wa kushoto kidole cha pete na mwingine hivyohivyo.

Kuna anayeweza kuzungumza lolote tuweze jua kazi ya hizo pete?
 
Ndio mkuu Kwani hata Pete za ndoa nini sasa si urembo tu, mbona wasiozipenda hawazivaagi
 
Picha ya lini na wapi?
 
EL alishawaambia yeye na JK hawakukutana barabarani. Labda mmuulize sasa walikutana wapi? Hilo la mipete miwili haliko mbali na "shirk"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…