Hizi picha miaka 60 baada ya uhuru, ni kielelezo tulikosea kutaka kujitawala na tulitakiwa tuendelee kutawaliwa

Hizi picha miaka 60 baada ya uhuru, ni kielelezo tulikosea kutaka kujitawala na tulitakiwa tuendelee kutawaliwa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.

Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia kura.

Alietuloga alaniwe.

Screenshot_20210925-164337_Twitter.jpg
 
Itabidi tumuulize Da Mange maoni yake juu ya picha hizi
 
uandishi wa mbunge mstaafu umejaa mihemko na hasira za kitoto sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

eti maccm
 
Usichokijua ni kwamba, familia zenye hali ya umasikini kama huo bado zipo nyingi mno.
Kinachotukomboa ni maendeleo ya wazungu, lakini vya kwetu wenyewe bado ni duni tangu miaka 60 ya uhuru
 
Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.

Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia kura.

Alietuloga alaniwe.

View attachment 1952384
Hapo kuna shule au chaka la panya.
 
Ni tamaa ya wachache , akina Nyerere kutaka kutawala.
Hivi kulikuwa na ubaya gani kumuacha Mwingereza aendelee kutawala?
Tungekuwa mbali sana.
Ngozi nyeusi hakuna tunachojua zaidi ya Rushwa, ufisadi na kupenda sifa.
Eenhe aisee hapa ndo Mawazo yako yamekupeleka, vile viboko walivyochapwa babu zako bado unavitamani.
Unashangaza!
 
Tuwekee na picha ya jengo la Makao makuu ya Chadema miaka 30 baada ya chama hicho kuasisiwa!
CHADEMA haina Dhamana ya kujenga Shule Vyoo wala masoko kwani haukufanyi Kodi za Wanachi ni MWEHU ndio anaweza Kuwaza kama wewe unavyowaza
 
Back
Top Bottom