lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
Sio mbaya unaweza kuondoka tz ukaenda kuishi uingereza.Si ulikuwepo wakichapwa hivyo viboko ??
Hivi muingereza alimbambikizia nani kesi ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mbaya unaweza kuondoka tz ukaenda kuishi uingereza.Si ulikuwepo wakichapwa hivyo viboko ??
Hivi muingereza alimbambikizia nani kesi ??
Niletee passport ya Zanzibar kwanza ya Uvamizi wa Tanganyika siitakiSio mbaya unaweza kuondoka tz ukaenda kuishi uingereza.
Ni heri ulalamike kuwa mipango haikuwa mizuri baada ya kupata Uhuru, badala ya kulilia kutawaliwa. Mbona akina Singapore waliendelea baada ya kuwa huru?!Ni tamaa ya wachache , akina Nyerere kutaka kutawala.
Hivi kulikuwa na ubaya gani kumuacha Mwingereza aendelee kutawala?
Tungekuwa mbali sana.
Ngozi nyeusi hakuna tunachojua zaidi ya Rushwa, ufisadi na kupenda sifa.
Nyerere alikazania kufuata Siasa Za kanisa lake Za kuuwa uislamu Na ZanzibarNi heri ulalamike kuwa mipango haikuwa mizuri baada ya kupata Uhuru, badala ya kulilia kutawaliwa. Mbona akina Singapore waliendelea baada ya kuwa huru?!
Unanikumbusha kisa cha kwenye Biblia; Waisrael walivyokuwa wanalalama kutaka kurudi utumwani Misri hadi Mungu akaamua wafie Jangwani na wasifike nchi ya ahadi.
Mentality zile zile za kilofa. Kuna ndege imetua na watalii zaidi ya 200 Arusha mchana wa leo, lakini mtanzania anaendelea kulialia mtandaoni badala ya kujiuliza atapata vipi fursa za kujiendeleza.Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.
Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia kura.
Alietuloga alaniwe.
View attachment 1952384
Unaweza kuhama tanganyika pia ukaenda kuishi zanzibarNiletee passport ya Zanzibar kwanza ya Uvamizi wa Tanganyika siitaki
Hiko kisa cha Wana wa Yakobo(Israeli) hakina uhusiano na kisa cha Watanganyika.Ni heri ulalamike kuwa mipango haikuwa mizuri baada ya kupata Uhuru, badala ya kulilia kutawaliwa. Mbona akina Singapore waliendelea baada ya kuwa huru?!
Unanikumbusha kisa cha kwenye Biblia; Waisrael walivyokuwa wanalalama kutaka kurudi utumwani Misri hadi Mungu akaamua wafie Jangwani na wasifike nchi ya ahadi.
Wazungu waliitawala afrika kwa miaka 300-400 kina Nyerere walikabiziwa nchi ikiwa na Hali gan kulikua na miundombinu yyte !??!!! Leo hii Ccm Ina miaka 60 tu Kuna barabara Kila mahari.. internet mpka kwe2 kijjni Huku inayokueezexha hata ww kuitukana Kuna xhule Kila mahari na imekudomesha ww mpk umejua kiingereza Cha kuabudia mabeberu ko Viongozi we2 WA kiafrika Wana vision kubwa Sana na wanawapenda mataifa Yao..,, xema wanasiasa huwachafua Bure kwa masirahi ya mabeberuNi tamaa ya wachache , akina Nyerere kutaka kutawala.
Hivi kulikuwa na ubaya gani kumuacha Mwingereza aendelee kutawala?
Tungekuwa mbali sana.
Ngozi nyeusi hakuna tunachojua zaidi ya Rushwa, ufisadi na kupenda sifa.
Sawa nitakaa peke yangu ni tafakari. Ila na wewe mfano wako wa ada nao sio. Hata kwa Biden pia kuna watu wanashindwa kulipa ada.Hiko kisa cha Wana wa Yakobo(Israeli) hakina uhusiano na kisa cha Watanganyika.
Watanganyika mpaka sasa ni watumwa.
Hebu kaa peke yako fikiri utaamini hili ninalolisema.
Hebu vuta picha jinsi Tanganyika ilivyojaa mito, maziwa, fukwe za bahari, hifadhi, uoto safi lakini mpaka sasa kuna wanafunzi wa chuo kikuu wanakatisha masomo kwakushindwa kulipa ada.
Mpaka sasa Tanganyika kuna nyumba za nyasi.
Sawa nitakaa peke yangu ni tafakari. Ila na wewe mfano wako wa ada nao sio. Hata kwa Biden pia kuna watu wanashindwa kulipa ada.
Kweli, tulitakiwa tufanye zaidi kwa rasilimali tulizonazo.
CCM imewahi kununua wapi kiwanja au jengo zaidi ya vile ilivyopora toka kwa wananchi wakati wa chama kimoja?Tuwekee na picha ya jengo la Makao makuu ya Chadema miaka 30 baada ya chama hicho kuasisiwa!