Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Na kusambaza hizi picha ni uchochezi.Watasema hiyo ni picha ya Rwanda..
Kipindi cha mauaji ya kimbari mwaka 1994
Hoja dhaifu!Tuwekee na picha ya jengo la Makao makuu ya Chadema miaka 30 baada ya chama hicho kuasisiwa!
Aliewaroga MaCCM kachanganyikiwa na hakumbuki kama alikua mchawi..Alietuloga alaniwe.
Ni ombi tu bwashee!Hoja dhaifu!
Hapo kuna shule au chaka la panya.Ukiacha swala zima la utawala bora na mambo mengineyo yaliyotushinda mpaka sasa, hata hili la vyumba vya madarasa na matundu ya choo,nalo bado ni tatizo miaka 60 tangu tuanze kujitawala.
Cha ajabu, 2025 CCM watataka tena wachaguliwe ili waendelee kuongoza hii nchi na kuna watu watawapigia kura.
Alietuloga alaniwe.
View attachment 1952384
Eenhe aisee hapa ndo Mawazo yako yamekupeleka, vile viboko walivyochapwa babu zako bado unavitamani.Ni tamaa ya wachache , akina Nyerere kutaka kutawala.
Hivi kulikuwa na ubaya gani kumuacha Mwingereza aendelee kutawala?
Tungekuwa mbali sana.
Ngozi nyeusi hakuna tunachojua zaidi ya Rushwa, ufisadi na kupenda sifa.
CHADEMA haina Dhamana ya kujenga Shule Vyoo wala masoko kwani haukufanyi Kodi za Wanachi ni MWEHU ndio anaweza Kuwaza kama wewe unavyowazaTuwekee na picha ya jengo la Makao makuu ya Chadema miaka 30 baada ya chama hicho kuasisiwa!
Manka umeshafura!CHADEMA haina Dhamana ya kujenga Shule Vyoo wala masoko kwani haukufanyi Kodi za Wanachi ni MWEHU ndio anaweza Kuwaza kama wewe unavyowaza