rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Hadhi ya Wachezaji, wachezaji watatu wa Simba wamewekewa Pingamizi na vilabu tofauti.
Yusuph Kagoma, Awesu Awesu na Valentino.
Pingamizi la Kagoma ni Yanga kudai Singida fountain gate hawajarudisha pesa zao baada ya kuwalipa lakini mchezaji walishindwana naye akasajili Simba.
Pia soma: Wanasheria wa Vilabu vya Soka Tanzania fanyeni wajibu wenu, msilaumu wachambuzi
Kinachoacha maswali tatizo sio mchezaji bali ni madai ya hizo klabu mbili. Kwanini mchezaji awekewe pingamizi wakati Yanga kwa maelezo yao mchezaji hajachukua pesa wala kusaini? Huu ni ubabaishaji mkubwa.
Swala la Awesu ni KMC kudai ni bado mchezaji wao na wana mkataba naye lakini taarifa za ndani Awesu amewalipa milioni 50 kama mkataba wake unavyotaka Ila club wanataka walipwe milioni 70.
Huu ni mitihani mwingine kwa sababu swala la Awesu linafanana na swala la Feitoto je, wataamua tofauti? Hilo ndio jibu linalosubiriwa.
Pia tayari wameshasikiliza swala la Lameck Lawi lakini mpaka sasa hawajatoa majibu.