Hizi pombe jomoni

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
 
Mama sabrina huyoooo

Hivyo ndo unapenda sasa mama sabrina, sasa yule mdogo wake wazir alitaka akupeleke kanda ya ziwa ukale viaz vitamu

Hajui kama wewe mambo yako ni ya kizungu zungu
 
Mama sabrina huyoooo

Hivyo ndo unapenda sasa mama sabrina, sasa yule mdogo wake wazir alitaka akupeleke kanda ya ziwa ukale viaz vitamu

Hajui kama wewe mambo yako ni ya kizungu zungu
Nakuambia siwezi kwenda bush mie,,halaf kaja ananitafuta sitaki hata kumuona aisee
 
Umenikumbusha mdada mmoja nilimvulia kofia alienda sminof 13 hadi nikajua ananikomoa....

Nilichofanya namimi nikamkomoa ila hakupepeseka wala.

G nilikuvulia kofia.
Nilidhania umetoa povu ,uje hapa nikuleweshe mpaka utambaee
Njoo basi
 
kwenye demu hapo ingekuwa wew mwenyewe ningekuja faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…