Hizi pombe jomoni

Hizi pombe jomoni

Thread zako, pombe, uzinzi, naona kinachofuata hapo, na ukilete hapa usije kimbia....Tubu mfuate Yesu wacha kuteseka kiasi hicho, hyo ni madhabahu ya shetan unayoitukuza, na haijawah acha mtu salama hata siku moja, njoo kwa Yesu utaishi maisha hujawah ishi. Mungu akuongoze.
 
Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
Mwanamke unaanzaje kwenda kukata kilaji peke ako??
Genye zikipanda hutakuwa chakula ya bodaboda kweli ma sabrina? ?[emoji2] [emoji2] nawaza tu kwa saut
 
Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
Awamu hii unaweza maliza Tbl yote bila kulewa, so nakuomba usishindane na kilev, mana kila saa viongoz wanatoa matamko tata n yasiyoeleweka, so unajikuta everytime unafanya hard thinking kujiuliza hawa viongoz wetu wanawaza kwakutumia kiungo gan cha mwil, huwez lewa madame, give it a rest
 
Thread zako, pombe, uzinzi, naona kinachofuata hapo, na ukilete hapa usije kimbia....Tubu mfuate Yesu wacha kuteseka kiasi hicho, hyo ni madhabahu ya shetan unayoitukuza, na haijawah acha mtu salama hata siku moja, njoo kwa Yesu utaishi maisha hujawah ishi. Mungu akuongoze.
We unaishi kwani paradise ?
 
Awamu hii unaweza maliza Tbl yote bila kulewa, so nakuomba usishindane na kilev, mana kila saa viongoz wanatoa matamko tata n yasiyoeleweka, so unajikuta everytime unafanya hard thinking kujiuliza hawa viongoz wetu wanawaza kwakutumia kiungo gan cha mwil, huwez lewa madame, give it a rest
Vizuri kaka,,,mwaaah
 
Upo mikono mwake mwenyewe

Ni juzi tu nimemkuta Mdada mmoja mtaani yupo 'nduki' anauza Kuku, kasimama na Mteja (mwanaume) anamwambia mteja "huyu ni manzi tafuta jogoo la kienyeji apigwe miti upate vifaranga" nilicheka lakini nikajiuliza ni nini hatima yake anapoingia kwenye 18 za masela...sema tu inaonekana ni mlevi wa mataputapu.
 
Haki ya nani nimekupenda bure

Maana hawa mademu wangu wote katika vitu wanavyoniuzi ni kuniambia niache pombe , hapa nakula zangu sengereti huku naangalia gemu ya Liverpool karibu na huku
 
Weee tukutane we tutapatana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
utakuwa umeachwa siyo bure mtoto wa kike pombe zote hizo unamkoa mnunuaji au unajikomoa wewe halafu mkiliwa mtandao ule mshangae
 
Pombe+hali hii ya hewa=maximum satisfaction
 
Back
Top Bottom