Counsellor Sima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 539
- 575
Thread zako, pombe, uzinzi, naona kinachofuata hapo, na ukilete hapa usije kimbia....Tubu mfuate Yesu wacha kuteseka kiasi hicho, hyo ni madhabahu ya shetan unayoitukuza, na haijawah acha mtu salama hata siku moja, njoo kwa Yesu utaishi maisha hujawah ishi. Mungu akuongoze.