Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #141
Huaga una akili sana wewe,,pia muelewaaanajua tuu unachangamsha genge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Kutaka kuonana tupige gambe,,ndio namuambia mpaka niombe ruhusa kwako,,Ebu nipashe hapa mnazungumzia nini tena?
Utavumilia nilivyo kabayaa,,hutanikimbia wewe
Ebu nipashe hapa mnazungumzia nini tena?
Haha.... Sio wanaume wa jF tu mwqnamme yeyote kama haumjui ukipiga naye gambe ni kuwa makini....Kutaka kuonana tupige gambe,,ndio namuambia mpaka niombe ruhusa kwako,,
Bora we umenizoea asijenikimbia na kuja kutangaza humu
Hehehehe hamuwezi vumiliaa,,,mnakuja kutunanga humu wakati na nyie wabaya [emoji23][emoji23]Just for drink-up!
Nani alimwambia Mungu niumbe hivi?
Kila mtu ameumbwa kwa jinsi Mungu anavyotaka na si kwa tunavyotaka sisi.
Huyu atakufilisi halewi kiurahisi bossMkuu naomba kufanya lobbing ili upitishe ruhusa mkuu.
Najua sana hilo,,hua tunawakimbia kimya kimyaaaHaha.... Sio wanaume wa jF tu mwqnamme yeyote kama haumjui ukipiga naye gambe ni kuwa makini....
Sasa wewe unichekeechekee halafu ninaugwadu unategemea nini nakukata.
Aandae mipesa mingi [emoji14][emoji14]Huyu atakufilisi halewi kiurahisi boss
Ila nyie wanawake haya tu....Najua sana hilo,,hua tunawakimbia kimya kimyaaa
Shingapi ni mwambieAandae mipesa mingi [emoji14][emoji14]
Huyu atakufilisi halewi kiurahisi boss
Sasa utaliwa na kila mtu ,,halaf wengine ving'ang'anizi hataree,,,Ila nyie wanawake haya tu....
Unakuta umetumia not less than 50k per 2 hrs jamaa akitoka kukojoa tu huyo ushatembea.
Hahahahahaha,kwani kweli ulizima?Anatania, pombe siyo chai mkuu.
Ila mimi nikiwa ugenini huwa sitaki kutoka na watu wa ofisini kwa sababu kuna kipindi nilienda kufanya visit flani kikazi (ni branch), sasa tukaenda kupiga maji, unajua tena ukiwa ugenini unavyojiachia, nimerudi makao makuu nakuta story za eti nililewa mpaka nikazima, toka siku hiyo nikienda sinywi nao jamaa.
I have better meet new people.
Bia 3000 au 4000,,ajiongezee bado kula ,kawaida tuShingapi ni mwambie
Hapo sawaAnatania, pombe siyo chai mkuu.
Ila mimi nikiwa ugenini huwa sitaki kutoka na watu wa ofisini kwa sababu kuna kipindi nilienda kufanya visit flani kikazi (ni branch), sasa tukaenda kupiga maji, unajua tena ukiwa ugenini unavyojiachia, nimerudi makao makuu nakuta story za eti nililewa mpaka nikazima, toka siku hiyo nikienda sinywi nao jamaa.
I have better meet new people.
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Sasa utaliwa na kila mtu ,,halaf wengine ving'ang'anizi hataree,,,
Yule niliemlia hela zake jana kaja ,akang'ang'ania kutaka aje nilipo nikamuelekeza akanikuta na rafiki zangu,basi kumbe kuna rafiki yangu mwingine alikua akimtaka tena,,,akazungusha round moja,,nikawaambia tuondoke zetu,,tukamuacha,eti urudi basi,,mim aa wapi nikajiendea kulala zangu
Hahahahahaha,kwani kweli ulizima?
Ila ukiwa lihandsome utanipa majaribu makubwaaa
Daby niokoe niombee hiki kikombe nikiepuke
Hahahahahaha,kwani kweli ulizima?
Ila ukiwa lihandsome utanipa majaribu makubwaaa
Daby niokoe niombee hiki kikombe nikiepuke
Babu ehehehehMimi ni kibabu bana, kwa hiyo itakuwa ni story za Babu na mjukuu wake.