Hizi pombe jomoni

Hizi pombe jomoni

Kutaka kuonana tupige gambe,,ndio namuambia mpaka niombe ruhusa kwako,,
Bora we umenizoea asijenikimbia na kuja kutangaza humu
Haha.... Sio wanaume wa jF tu mwqnamme yeyote kama haumjui ukipiga naye gambe ni kuwa makini....

Sasa wewe unichekeechekee halafu ninaugwadu unategemea nini nakukata.
 
Najua sana hilo,,hua tunawakimbia kimya kimyaaa
 
Huyu atakufilisi halewi kiurahisi boss

Anatania, pombe siyo chai mkuu.

Ila mimi nikiwa ugenini huwa sitaki kutoka na watu wa ofisini kwa sababu kuna kipindi nilienda kufanya visit flani kikazi (ni branch), sasa tukaenda kupiga maji, unajua tena ukiwa ugenini unavyojiachia, nimerudi makao makuu nakuta story za eti nililewa mpaka nikazima, toka siku hiyo nikienda sinywi nao jamaa.

I have better meet new people.
 
Ila nyie wanawake haya tu....

Unakuta umetumia not less than 50k per 2 hrs jamaa akitoka kukojoa tu huyo ushatembea.
Sasa utaliwa na kila mtu ,,halaf wengine ving'ang'anizi hataree,,,
Yule niliemlia hela zake jana kaja ,akang'ang'ania kutaka aje nilipo nikamuelekeza akanikuta na rafiki zangu,basi kumbe kuna rafiki yangu mwingine alikua akimtaka tena,,,akazungusha round moja,,nikawaambia tuondoke zetu,,tukamuacha,eti urudi basi,,mim aa wapi nikajiendea kulala zangu
 
Anatania, pombe siyo chai mkuu.

Ila mimi nikiwa ugenini huwa sitaki kutoka na watu wa ofisini kwa sababu kuna kipindi nilienda kufanya visit flani kikazi (ni branch), sasa tukaenda kupiga maji, unajua tena ukiwa ugenini unavyojiachia, nimerudi makao makuu nakuta story za eti nililewa mpaka nikazima, toka siku hiyo nikienda sinywi nao jamaa.

I have better meet new people.
Hahahahahaha,kwani kweli ulizima?
Ila ukiwa lihandsome utanipa majaribu makubwaaa
Daby niokoe niombee hiki kikombe nikiepuke
 
Hapo sawa
 
Sasa utaliwa na kila mtu ,,halaf wengine ving'ang'anizi hataree,,,
Yule niliemlia hela zake jana kaja ,akang'ang'ania kutaka aje nilipo nikamuelekeza akanikuta na rafiki zangu,basi kumbe kuna rafiki yangu mwingine alikua akimtaka tena,,,akazungusha round moja,,nikawaambia tuondoke zetu,,tukamuacha,eti urudi basi,,mim aa wapi nikajiendea kulala zangu
[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Hahahahahaha,kwani kweli ulizima?
Ila ukiwa lihandsome utanipa majaribu makubwaaa
Daby niokoe niombee hiki kikombe nikiepuke

Sikuzima, ila niliongea mpaka nikapitiliza nadhani...

Maana kesho yake nilianza kuwauliza niliongea nini wakawa wanacheka, kumbe kuna siri za ofisi kuu nilivujisha.
 
Back
Top Bottom