Watu kama wewe mnasumbuliwa na Mtazamo au maisha ya kuiga / artificial, sasa kama ungekutana na wanawake wanaopiga mzinga wa Konyagi ungesemaje?Tena mrembo kweli. Anakunywa safari lager tena za moto. Ila alijistukia baada ya kuona jamaa wanamwangalia sana. Baada ya kunywa kama bia 2 hivi akabadilisha na kuagiza serengeti.
Nimeshangaa kweli aisee. Hizi pombe za sikukuu ni sheeeder aisee
Ki ukweli mwanake apendezi kunywa bia hizi. Safari, castle lager, hata serengeti. Mwanamke anywe lite ndovu heineken au bia za kopo. Haya mapombe yenye ujazo wa 500ml hayawafai kwa kweli.
Kwahyo safari ni za wapiga kura ?Ngumu. Hizo ni kwa ajili ya wavuja jasho, kama wakulima na watu wa kazi ngumu.
Binti mrembo unakunywa lite ml 330 na si mibia ya nusu lita
Au pacha wake Amstel siyo.Ungemshauri anywe plisner aka kifurushi cha chuo
Bei yke ambayo ni 1500
Ovaa
WAMEGOMEA WINE? OOH NAKUNYWA DOMPO !!!Ki ukweli mwanake apendezi kunywa bia hizi. Safari, castle lager, hata serengeti. Mwanamke anywe lite ndovu heineken au bia za kopo. Haya mapombe yenye ujazo wa 500ml hayawafai kwa kweli.
Kama savannah dry vile dada.Kwani safari lager zikoje kaka?
Nilisoma gazeti mwananchi kuwa pilsner inaitwa UKAWA kwani ni bei ya wananchi, na vile ukawa inataka kuleta unafuu wa maisha ikawa hivyo. Oh kumbe inaitwa pia kifurushi cha chuo. Several namesUngemshauri anywe plisner aka kifurushi cha chuo
Bei yke ambayo ni 1500
Ovaa
Hehehe ndy jina lingine maarufu ni ukawa!Nilisoma gazeti mwananchi kuwa pilsner inaitwa UKAWA kwani ni bei ya wananchi, na vile ukawa inataka kuleta unafuu wa maisha ikawa hivyo. Oh kumbe inaitwa pia kifurushi cha chuo. Several names
Itakuwa alikuja nayo.Mimi nilimkuta mmoja Cape town fish Market anashushia pilau na safari ,sasa sijui ile pilau aliitoa wapi
Warembo wengi wanakunywa konyagi na Safari.!
hii uliipiga may mwaka gani mkuu?
Duh! kifulushi cha chuo? nimecheka sana,Ungemshauri anywe plisner aka kifurushi cha chuo
Bei yke ambayo ni 1500
Ovaa
unanikumbushia mbali sana...πππbaa niende kufanya nn?nunua viroba vya buku 5 tia mfukoni then tandika ki1 baada ya kingine