IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Watu kama wewe mnasumbuliwa na Mtazamo au maisha ya kuiga / artificial, sasa kama ungekutana na wanawake wanaopiga mzinga wa Konyagi ungesemaje?Tena mrembo kweli. Anakunywa safari lager tena za moto. Ila alijistukia baada ya kuona jamaa wanamwangalia sana. Baada ya kunywa kama bia 2 hivi akabadilisha na kuagiza serengeti.
Nimeshangaa kweli aisee. Hizi pombe za sikukuu ni sheeeder aisee