Hizi Prado za sasa hivi naona ni za kiwango kingine kabisa

Hizi Prado za sasa hivi naona ni za kiwango kingine kabisa

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,505
Reaction score
5,343
Nmeanza kuwa mpenzi wa Prado sasa maana haya matoleo ya mwaka huu ni balaa tupu!

Unahitaji kuwa na $70,000 bila kodi kuibikiri mwenyewe yani 0km.

Ngoja niendelee kujichanga.

Screenshot_20210420-223250_Chrome.jpg
Screenshot_20210420-223236_Chrome.jpg
 
Kodi ya Prado sio kubwa hivyo.

2021 Prado VX-L Brand New inauzwa 279M.

Hii ni mpaka kodi unaenda ichukua pale Toyota Tanzania.

Na hiyo ni top model ya Prado.
Safi sana aisee.. Unaimenya mwenyewe!

Gari kubwa yenye nafasi na mafuta ulaji wake ni kidogo yani lita 7 km 100.

Ni umasikini tu ndio unatufanya tuendelee kukumbatia vi mikebe.
 
Wanyonge endeleeni kujadili mambo za altezza,harrier tako la nyani,brevis,bmw 3 series(e46,e90),mercedes c-class(W202,W203) na gari za kinyonge kama hizo.

Hayo maprado waachieni wenyewe.
Mkuu hii gari ukiipata, alafu unaanza mwenyewe kuitumia hadi vitukuu vitaikuta.
 
Wanyonge endeleeni kujadili mambo za altezza,harrier tako la nyani,brevis,bmw 3 series(e46,e90),mercedes c-class(W202,W203) na gari za kinyonge kama hizo.

Hayo maprado waachieni wenyewe.
[emoji28][emoji28][emoji28] wanyonge tunavimbiana na altezza 130000km kutoka japan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom