Hizi Prado za sasa hivi naona ni za kiwango kingine kabisa

Safi sana aisee.. Unaimenya mwenyewe!

Gari kubwa yenye nafasi na mafuta ulaji wake ni kidogo yani lita 7 km 100.

Ni umasikini tu ndio unatufanya tuendelee kukumbatia vi mikebe.
Muda mwingine ukipiga hesabu hivi vigari vidogo katika mafuta havina cha unafuu wala nn. Kagari kama passo cc 990, piston 3 kwa lita moja kanapeleka km 12 sababu ya nguvu ndogo ya engine. Cha ajabu IST ya cc 1300 piston 4, kwa lita 1 kanapeleka km hadi 15, sababu engine ina nguvu. So hata hizi kubwa ni kweli unashangaa ukitumia inatumia vizuri sana mafuta sababu gari za sasa umeme ni mwingi sana na zina nusa mafuta kistaarabu sana.
 
Kabisa mkuu sasa kama hiyo prado ina cc 2800 lakini ulaji wake wa mafuta ni lita 7 hadi 9 kwa 100km
Maana yake ni 100/7 = 14km

Yani lita 1 inaenda km14

Sasa hapo ina tofauti gani na ist?
 
Wanyonge endeleeni kujadili mambo za altezza,harrier tako la nyani,brevis,bmw 3 series(e46,e90),mercedes c-class(W202,W203) na gari za kinyonge kama hizo.

Hayo maprado waachieni wenyewe.
Hahahah unaijua vieite wewe 😂😂😂 af anatokea punda anasema Toyota hamna gari utafikiria pale jirani na Quality Centre hapajui 😃😃😃!!!

Sogeza pua uache kiinua mgongo cha ukoo mzima ndio kukamata ZX V8 moja tu yenye makaratasi kwenye viti!
 
Kodi nayo ni million 161.
P
Nmeanza kuwa mpenzi wa Prado sasa maana haya matoleo ya mwaka huu ni balaa tupu!

Unahitaji kuwa na $70,000 bila kodi kuibikiri mwenyewe yani 0km.

Ngoja niendelee kujichanga.

View attachment 1758692View attachment 1758693
Prado 4th gen zote nzuri nilianza zipenda kipindi ziko chache 2016 . .. nikaanza fatilia kodi ya 2009 ilikuwa kodi mil 30 ..used hadi bandarini ilikuwa 50M kwa hio kwa 80m na kidogo unaeza pata

Naona used pia za 2012/2014 bongo kwa mil 120-150

Kwanzia 2015 walianza tumia engine yangu mpya pendwa 1gd ftv 2.8L 4cyl very powerful ... later wakaweka kwa hiace na hilux usiombe kutana nayo gari yoyote yenye engine hio
 
Muda mwingine ukipiga hesabu hivi vigari vidogo katika mafuta havina cha unafuu wala nn. Kagari kama passo cc 990, piston 3 kwa lita moja kanapeleka km 12 sababu ya nguvu ndogo ya engine. Cha ajabu IST ya cc 1300 piston 4, kwa lita 1 kanapeleka km hadi 15, sababu engine ina nguvu. So hata hizi kubwa ni kweli unashangaa ukitumia inatumia vizuri sana mafuta sababu gari za sasa umeme ni mwingi sana na zina nusa mafuta kistaarabu sana.
That's it

Kama unanunua KEI car kama suzuki kei kale, au suzuki jimny au mini pajero kwa ajili ya cc zake ndogo 660cc ili ubane mafuta utakuwa unachekesha,,, jimny 660cc haina utofaut na cami ya 1300cc...

Kale gia ya mwisho manual yake ili uwe 90kph rpm itakuwa 3000rpm

Wakati premio ya 1500cc at 3000k rpm 4th gia gari iko 131 kph means ukitaka cruise at 90kph engine speed itakuaa 2100rpm thats very low engine itadumu sana na mafuta hapo inagusa 15km/ L
 
P

Prado 4th gen zote nzuri nilianza zipenda kipindi ziko chache 2016 . .. nikaanza fatilia kodi ya 2009 ilikuwa kodi mil 30 ..used hadi bandarini ilikuwa 50M kwa hio kwa 80m na kidogo unaeza pata

Naona used pia za 2012/2014 bongo kwa mil 120-150

Kwanzia 2015 walianza tumia engine yangu mpya pendwa 1gd ftv 2.8L 4cyl very powerful ... later wakaweka kwa hiace na hilux usiombe kutana nayo gari yoyote yenye engine hio
Inatoa Horsepower ngapi?
 
Back
Top Bottom