Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Hahah tena unafunga na mziki mkubwa na majirani ukiwapita hakuna kuwasalimia wala kuwapa lift watakuchafulia Tezza yako mkuu.[emoji28][emoji28][emoji28] wanyonge tunavimbiana na altezza 130000km kutoka japan
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliwahi kumuovertake jamaa mmoja kwenye round about alikuwa amesimama gari ya kulia ipite. Nikatumia kile kigepu kumpita pale pale. Mwenye Prado yake angeona nilichofanya, angedondoka pale pale azimie. Puuuh
Kodi inazidi Bei ya kununulia,jaribu kuwaulizaTRAcostoms.Kodi nayo ni million 161.
Haifiki huko, nadhani we ni mwenzangu wenye F ya masematiksi70000x2300=161000000
duh bilioni 1.6 mkuu nikutakie mwema utafutaji nitaomba lifti tu maana parefu siwezi hata kuiota
Dawa ni kununua kwa watu walio tembelea na kushindwa uendeshwaji,Bado unakua na Prado.Sasa almost tsh. 300mil wanyonge mtapata wapi muweze kununua hio gari?
π€£π€£π€£Kodi inazidi Bei ya kununulia,jaribu kuwaulizaTRAcostoms.
We mzee, angalia vizuri itakuwa mil16070000x2300=161000000
duh bilioni 1.6 mkuu nikutakie mwema utafutaji nitaomba lifti tu maana parefu siwezi hata kuiota
Muda mwingine ukipiga hesabu hivi vigari vidogo katika mafuta havina cha unafuu wala nn. Kagari kama passo cc 990, piston 3 kwa lita moja kanapeleka km 12 sababu ya nguvu ndogo ya engine. Cha ajabu IST ya cc 1300 piston 4, kwa lita 1 kanapeleka km hadi 15, sababu engine ina nguvu. So hata hizi kubwa ni kweli unashangaa ukitumia inatumia vizuri sana mafuta sababu gari za sasa umeme ni mwingi sana na zina nusa mafuta kistaarabu sana.Safi sana aisee.. Unaimenya mwenyewe!
Gari kubwa yenye nafasi na mafuta ulaji wake ni kidogo yani lita 7 km 100.
Ni umasikini tu ndio unatufanya tuendelee kukumbatia vi mikebe.
Kabisa mkuu sasa kama hiyo prado ina cc 2800 lakini ulaji wake wa mafuta ni lita 7 hadi 9 kwa 100kmMuda mwingine ukipiga hesabu hivi vigari vidogo katika mafuta havina cha unafuu wala nn. Kagari kama passo cc 990, piston 3 kwa lita moja kanapeleka km 12 sababu ya nguvu ndogo ya engine. Cha ajabu IST ya cc 1300 piston 4, kwa lita 1 kanapeleka km hadi 15, sababu engine ina nguvu. So hata hizi kubwa ni kweli unashangaa ukitumia inatumia vizuri sana mafuta sababu gari za sasa umeme ni mwingi sana na zina nusa mafuta kistaarabu sana.
kuna mwamba kahonga hii π΅π΅Nmeanza kuwa mpenzi wa Prado sasa maana haya matoleo ya mwaka huu ni balaa tupu!
Unahitaji kuwa na $70,000 bila kodi kuibikiri mwenyewe yani 0km.
Ngoja niendelee kujichanga.
View attachment 1758692View attachment 1758693
umetu sahau wenye wenye vitz.. mkuu ππWanyonge endeleeni kujadili mambo za altezza,harrier tako la nyani,brevis,bmw 3 series(e46,e90),mercedes c-class(W202,W203) na gari za kinyonge kama hizo.
Hayo maprado waachieni wenyewe.
πππ hao ni special case mkuu.umetu sahau wenye wenye vitz.. mkuu ππ
au tumewekewa ward maalumu ππππππ hao ni special case mkuu.
Hahahah unaijua vieite wewe πππ af anatokea punda anasema Toyota hamna gari utafikiria pale jirani na Quality Centre hapajui πππ!!!Wanyonge endeleeni kujadili mambo za altezza,harrier tako la nyani,brevis,bmw 3 series(e46,e90),mercedes c-class(W202,W203) na gari za kinyonge kama hizo.
Hayo maprado waachieni wenyewe.
Hahahaha wanyonge tunaendelea kuchezewa sana na soko la Used![emoji28][emoji28][emoji28] wanyonge tunavimbiana na altezza 130000km kutoka japan
Sent using Jamii Forums mobile app
PKodi nayo ni million 161.
Prado 4th gen zote nzuri nilianza zipenda kipindi ziko chache 2016 . .. nikaanza fatilia kodi ya 2009 ilikuwa kodi mil 30 ..used hadi bandarini ilikuwa 50M kwa hio kwa 80m na kidogo unaeza pataNmeanza kuwa mpenzi wa Prado sasa maana haya matoleo ya mwaka huu ni balaa tupu!
Unahitaji kuwa na $70,000 bila kodi kuibikiri mwenyewe yani 0km.
Ngoja niendelee kujichanga.
View attachment 1758692View attachment 1758693
That's itMuda mwingine ukipiga hesabu hivi vigari vidogo katika mafuta havina cha unafuu wala nn. Kagari kama passo cc 990, piston 3 kwa lita moja kanapeleka km 12 sababu ya nguvu ndogo ya engine. Cha ajabu IST ya cc 1300 piston 4, kwa lita 1 kanapeleka km hadi 15, sababu engine ina nguvu. So hata hizi kubwa ni kweli unashangaa ukitumia inatumia vizuri sana mafuta sababu gari za sasa umeme ni mwingi sana na zina nusa mafuta kistaarabu sana.
Inatoa Horsepower ngapi?P
Prado 4th gen zote nzuri nilianza zipenda kipindi ziko chache 2016 . .. nikaanza fatilia kodi ya 2009 ilikuwa kodi mil 30 ..used hadi bandarini ilikuwa 50M kwa hio kwa 80m na kidogo unaeza pata
Naona used pia za 2012/2014 bongo kwa mil 120-150
Kwanzia 2015 walianza tumia engine yangu mpya pendwa 1gd ftv 2.8L 4cyl very powerful ... later wakaweka kwa hiace na hilux usiombe kutana nayo gari yoyote yenye engine hio
177hpInatoa Horsepower ngapi?