Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

Huu ni ujinga wa ki LDC yaani mabilioni kuwekezwa kwenye miradi yenye tija ndogo kwa umma,, hizo pesa zingetumika kupanua miundombinu ya barabara na mifereji jijini ingeleta mantiki na manufaa makubwa kwa wananchi kuliko ujinga huo wa stendi karne hii
 
kwanza nakuomba utengue kauli yakusema kama dar haiwezi kuwa modern city,,kwasababu kuna baadhi ya miradi tiyari ishapendekezwa na inafanyika,kiukweli kwa hapo mwanzo dar haikuwa sawa na tofauti hata wewe unaiona ....changamoto zipo na haziwezi kutatuka ghafla lazima mambo yaende taratibu na kwa hatua,,,nimekuonyesha ile link ya video kwa makusudi ili ujue kama tulipotoka na tunapokwenda ni kuna tofauti kubwa sana...

kwa mfano kwa upande wa miundombinu hivi ile kariakoo ya miaka ya nyuma kiusafi inalingana na sasa...?...dar bado haijafikia level yakusema kama haiwezi kuwa modern city kuna mradi wakudumu wa DMDP...ujue ifike kipindi tukubali kama kuna changamoto na uzembe wa utendaji lakini vile vile tukybaliane na vitu vinavyotendeka ukisema kama serikali haina mpango wowote wakulifanya jiji liwe kisasa unakosea.....hivi nikuulize kama serikali haina mipango hiyo pale jangwani mbona kwa sasa hakuna makazi?...je kigamboni bridge inamaana siyo inflastructure?..na barabara za kijitonyama ama makumbusho zinazojengwa inamaana hazina tija...?


futa kauli hayo maeneo kwa hii render video yote yapo kwa mipango yakuyaboresha
 
Nenda quarter za Magomeni ulete mrejesho wa kebehi yako.
Tuliwachague wakapambane na maendeleo hatukuwachagua wapambane na watu,watupe vitu vinavyoonekana,ili tuwape kura.Hata mtu akisema hawajafanya kitu tunawaonyesha kwa Picha,unaona mradi ule,unaona hiki wamefanya tunakuwa na nguvu ya kusema.
 
Nenda quarter za Magomeni ulete mrejesho wa kebehi yako.
Tuliwachague wakapambane na maendeleo hatukuwachagua wapambane na watu,watupe vitu vinavyoonekana,ili tuwape kura.Hata mtu akisema hawajafanya kitu tunawaonyesha kwa Picha,unaona mradi ule,unaona hiki wamefanya tunakuwa na nguvu ya kusema.
 
Stand inalipa na kurudisha hela haraka kuliko ndege,angalia mapato kwa mwezi ya stand ndo utajua
 
Tuliwachague wakapambane na maendeleo hatukuwachagua wapambane na watu,watupe vitu vinavyoonekana,ili tuwape kura.Hata mtu akisema hawajafanya kitu tunawaonyesha kwa Picha,unaona mradi ule,unaona hiki wamefanya tunakuwa na nguvu ya kusema.
Mwenye macho haambiwi tazama labda kama wewe ni kipofu hata wa kufikiri. Kama unadhani hayo maneno yako yatabadisha utendaji wa Serikali, baki na ndoto na dua za alinacha
 
Mwenye macho haambiwi tazama labda kama wewe ni kipofu hata wa kufikiri. Kama unadhani hayo maneno yako yatabadisha utendaji wa Serikali, baki na ndoto na dua za alinacha
Hakuna apingae maendeleo mtu mwenye akili timamu
 
Tunaomba ushauri wako nini kifanywe ili kumsaidia mtu wa mpitimbi.

au hizo bilioni 50 wakazigawe kwa hao wana mpitimbi?
 
Sasa wewe uko mpitimbi si utafute shamba ulime,mwendokasi waachie wa mjini.
 

Mkuu, hujaelewa hoja yangu na sidhani kwa malumbano haya tutaelewana. Ndio zipo projects kadhaa kutengeneza jiji.
je, zinahusisha maeneo mangapi katika jiji?
Je, unajua mji unapanuka kiholela? Njoo Mbezi-Kimara kuelekea Kibaha utaelewa ninachoongea, achilia mbali huko manzese na mburahati.

Acha kuangalia miradi ambayo ni insignificant, miradi miwili mitatu tu. Angalia jiji lote kama lilivyo na piga picha 20-50yrs to come.
 
Eti stand karne hii ina maana pale ubungo nini karne hii?
Na kuhusu kupanua barabara na mitaro fuatilia mradi wa DMDP video ipo juu ujielimishe
 
Sasa unataka nini kifanyike?
 
Sasa unataka nini kifanyike?
Dhana ya "modern city" Das'lam iondoeni, there's nothing like a modern city here. Sisi tujenge tu hicho kinachowezekana kujengwa maisha yaende.

Nikupe mfano, barabara ya Morogoro kuanzia city centre inahitaji usafiri wa aina zaidi ya tatu.

1. Roads for private and public cars. Hizo barabara zilizopo, njia mbili si sawa kabisa, zinaruhusu gari kuingia na kutoka lakini hazikidhi, walau njia tatu kwa sita, tatu kwenda tatu karudi. Hii inatakiwa toka city centre hadi Chalinze.

2. Mwendokasi.
Inatakiwa ianzie city centre hadi angalau Kibaha, sio pale Kimara, another mistake.

3. Trams.
Third transport choice uwe trams pembeni ya hizi njia tatu, hizi zitakuwa slow, kubeba watu wasioenda mbali, mfano mtu hapana kimara-msugule.

4. Trains.
Kutoka city centre hadi Chalinze, ipite pembeni ya barabara kuu.

Swala la uhaba wa usafiri tutazisikia kwa jirani.

Kuna issue nyingine, stand ya Ubungo inaenda Mbezi-Kimara, wasipoweka design nzuri pale Mbezi kutakuwa na foleni ya kufa mtu, yaani foleni lote la Ubungo mataa litahamia Mbezi.

Sasa, mfano niliotoa kwa barabara hiyo, unatakiwa kutekelezwa kwa barabara zote za jiji. There we can overcome the transport issue, pamoja na kujenga ring roads, street roads na penye umuhimu kujengwe flyovers, overpass roads na interchanges.
 

Vitu huenda polepole unahis unaamka tu unajenga trams and all tht ..Tanzania nzima inahitaji kujengwa so it takes tym ..tumeanza na BRT kuna DMDP zote hizo ni project za kusaidia mji na bado kuna miji mingi inahitaji miundo mbinu .hospitali zinahitaj dawa...mikoa inahitaji kuunganishwa na barabara ..wanafunzi wanahitaji mikopo ..so so far ttunajitahid na project zilizopo kama dmdp brt phase 2 n 3 ,ubungo interchange,tazara flyover ..and etc
 
Itakuwa modern city lini tumengoja hadi kuchoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…