Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizungumzii stend isijengwe nachozungumzia mimi ni uzembe unaofanywa wa kuruhusu kujengwa miradi inayo cost lot of money na kufunguliwa kwa mbwembwe na wanasiasa huku ikijengwa chini ya kiwango na kushindwa kuisimamia kwa umakini na kuwaacha wananchi bado wakiteseka kwa gharama za juu za maisha.Kwahiyo ulitaka isijengwe stendi. Tupe mbadala wa wapi bus zipate parking. Ubungo zina sababisha foleni.
Ohhh ! Check out @AlexChamwada’s Tweet:
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Vizuri tujue BRT ONLY imefika wapi kwa sasa 😀
wakenya kweli hawafai....miami imekuwa render ya nairobi[emoji2] [emoji2] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Wakenya mnaumia sana mkiona maendeleo ya Tanzania. Hiyo picha hapo juu mi Miami
View attachment 773570
Miami International Airport
........Unajua nini kuhusu chuki wewee!!!hapa hatuzungumzii ugomvi wako na mawifi zako hapa tunazumgumzia mustkabadhi wa taifa na hapa tunachambua kwa facts toa na wewe hoja zako usilete mipasho!Wewe unachuki zakishamba sana
Ulitakaje labda
Wote sisi ni watanzania, hakuna sababu za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Dar haliwezi katu kuwa modern city, ukizungumia manispaa zote za jiji kuwa modern unajidanganya mkuu.Ukapimwe siyo bure
Kwanza Tanzania wana modern bus station east and central Africa ya Msanvu bus terminal ya Morogorozikikamilika itawapa boost nakubaliana na hio mkuu ila kusema kuwa ndio itakuwa the most modern city in EA baada ya stendi ya basi sikubaliani...hapo ndio nina tashwishi nayo ila kwa sgr yenu nawapa tick kabisa
Mkuu kwa east Africa dar ni modern city nimekuwa Uganda ,na Nairobi kwa nyakati tofauti , Nairobi ni chafu sana ,miundombinu yao mizuri ni barabara ya Thika tu lakini nayo chafu sanaWote sisi ni watanzania, hakuna sababu za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Dar haliwezi katu kuwa modern city, ukizungumia manispaa zote za jiji kuwa modern unajidanganya mkuu.
The thing is, tunapenda kusikiliza maneno matamu.
Nadhani EA Rwanda yupo juu, mji msafi na umepangika.Mkuu kwa east Africa dar ni modern city nimekuwa Uganda ,na Nairobi kwa nyakati tofauti , Nairobi ni chafu sana ,miundombinu yao mizuri ni barabara ya Thika tu lakini nayo chafu sana
Uganda , inabarabara finyu na kelele nyingi jiji lina milima mingi na haliendelei sana
Dsm inaongoza MKUU
Kwanini ishindwe kuwa modern city unatumia vigezo gani ...?....kwani dar imeshamalizika kujengeka...?...au kwa uelewa wako modern city ni nini... ?...na je Dar ya 2006 ukicompare na sasa inafanana...?Wote sisi ni watanzania, hakuna sababu za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Dar haliwezi katu kuwa modern city, ukizungumia manispaa zote za jiji kuwa modern unajidanganya mkuu.
The thing is, tunapenda kusikiliza maneno matamu.
Well, ngoja tuongee sababu ya jiji la Daslam kutoweza kuwa modern city, naona labda tuna tatizo la exposure au huenda kila mtu ana tafasiri yake ya neno modern city.Kwanini ishindwe kuwa modern city unatumia vigezo gani ...?....kwani dar imeshamalizika kujengeka...?...au kwa uelewa wako modern city ni nini... ?...na je Dar ya 2006 ukicompare na sasa inafanana...?
vitu vingine tusiwe tunatoa mitazamo tu ilimradi,dar pamoja na hii nchi kwa ujumla bado tunasafari ndefu sana...