dai bwana ana vituko asipoacha sifa tutaona mengi mara kanunua lambogin mara choo 70m katengeneza mara kaenda kwenye harusi ya p square mara kajaza watu kwa lowasa mara singida but lets wait n see if continues what happen ???
Wanamsafishia hela zake chafu huyo hana lolote. Wangapi nyimbo za zinapigwa bet na sijasikia wakitangaza kulipwa kisu kirefu....au hiyo video ya d inawaingizia kiasi gani hao bet mpk wamlipe hvy. Acheni promo za kitoto mbele kule kila kitu kiko wazi
Wla hainiumi coz mimi sina team wenye timu wako wanacheza dakika 90 huko EPL na bundesliga. Mimi anapenda fact na ukweli sio kupumbaza watu ambao ni wazito kufanya research
We need facts and evidence sio maneno matupu!jamaaa anapenda sifa sana yule kwa hiyo jidee itakuwa na yy na AY wanalipwa mpunga mrefu mbona wapo kimya duu ila dai hata akibadilisha viatu anaonyesha mashabiki haya bwana!
Mimi ninacho hitaji kuona mna mpinga kwa hoja na uthibisho kuwa ana danganya...dai bwana ana vituko asipoacha sifa tutaona mengi mara kanunua lambogin mara choo 70m katengeneza mara kaenda kwenye harusi ya p square mara kajaza watu kwa lowasa mara singida but lets wait n see if continues what happen ???
Please bring facts and evidence.....!@pwillo bora uwaambie hao wengi wamezoea kusoma kiu,ijumaa, nk ndio maana domo akingea wala hawajiulizi kazi kushabikia tu
Kweli kabisa..Hii nimeitoa kwa MPOKI " Anayekuchukia hata utembee juu ya maji kama Yesu bado watasema ni kwa vile hujui kuogelea ndo mana unatembea juu ya maji ungejua kuogelea ungeogelea si kutembea " ndio hawa badala ya kuleta udhibitisho wanatema chuki,
Teh Teh umenikumbusha tangazo la airtel anasema mbona una lia lia kwani we una shillingi ngapi?Mbona unalili liaa?.. Kinachokuuma wewe nini? Yeye kusema amelipwa inakuongezea au inakupunguzia nini? Naomba ututhibitishie kuwa kweli umedanganywa na ukishindwa basi we ni KILAZA Kama ulivyosema mwenyewe,,,, Tafuta pesa kijana acha Kulialia
Hivi na nana kabla ya kutoka jamaa akatupia insta application yake kuonesha kuwa nana ita riliziwa BET iliishia wapi?
Teh Teh umenikumbusha tangazo la airtel anasema mbona una lia lia kwani we una shillingi ngapi?