Hizi promo nyingine, eti Diamond kalipwa pesa nyingi na BET!

Hizi promo nyingine, eti Diamond kalipwa pesa nyingi na BET!

Pesa alilipwa tena za siku nne kideo chake kuonyeshwaaaaa pesa ndefuuuuuuuuuu kweli hadi hawakuamini...kideo kwa Millard Ayo, babu tale aliongelea.
 
Duh..yan kuna watu humu akiguswa dai tu wanatokwa na povu kama nn..dah ...halaf mamen ...najiulizaga sana ..hata dai hawajui mtu anatokwa na povu kisa dai kakosolewa jambo

Hiyo inaitwa mahaba niue......Ndo wanayo
 
duh wabongo watu wa ajabu sana hapo angeandikwa yemi yalade ndo amelipwa wala msingebisha tena sana mngepongeza ila.CHIBU DANGOTE mnampinga,thus why aliimba ANAJUA ANAPINGWA ILA ANAAMINI ATASHINDA!!!™ndo hivyo anashinda sasa
 
jamen me naona hakuna haja ya kuendelea kujibizana ktk thread ambao inayopinga mafanikio ya Chibu na imebase kwenye kuombeana njaa ,so me naomba nichukue nafasi hii kusema kwamba Uzi Huu umefungwa rasmi..karibun tujumuike pamoja kwenye thread zingine..aksantheen..?!
 
mbona AY na jide(give me love) nyimbo zao zinapigwa vituo vikubwa afrika ila hawasemi kama huyo boya ila anaweza akatoa hadi pesa huyo ili nyimbo zake zichezwe si mzee wa misifaaa na bado......
Huyu nae sijui wa wapi, watu wanazungumzia BET wewe unaleta habari ya vituo vikubwa Afrika!!! Hivi hujui kwamba kuna tofauti kati ya BET, MTV (na maeneo yake; Africa, Asia, Europe, n.k), Channel O, Trace and so on!!! Issue hapa ni BET!
 
k wahiyo kaisubmit kisha form jamaa wamefungia maandazi au?
Hivi kwa kutumia ufahamu wako kidogo tu ulitarajia video iwasilishwe kwenye tv station bila submission form as if hiyo DVD unampa rafiki yako akai-play home?? Assume Diamond amezoea kupeleka video kibongobongo bila submission form, ulitarajia BET nao watachukua kazi ya mtu bila kuandikishiana kwamba wamechukua nini? Kesho na kesho kutwa wakipelekwa mahakamani kwamba wamecheza wimbo X bila ya ridhaa ya wamiliki halafu watajitetea vipi? Kama umeona logic yake, hivi bado unadhani kila DVD inayofikishwa BET na submission itakuwa ni kwa ajili ya kuzinduliwa?
 
Habari njema wadau...

Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..

Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)

link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

Vote | Nigerian Entertainment Awards

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
 
jamaaa anapenda sifa sana yule kwa hiyo jidee itakuwa na yy na AY wanalipwa mpunga mrefu mbona wapo kimya duu ila dai hata akibadilisha viatu anaonyesha mashabiki haya bwana!

Kwani Jide na Ay wakiwa kimya ni lazima kila mtu awe kimya!!! ... Huna logic
 
Pwilo mara zote uko negative kwa habar inayomuhusu Diamond,hata kama ana deserve utapinga tu na facts ambazo si za msingi.
Kwangu mim,msanii kujisifia sion kama ni tatizo provided anastahil hizo sifa (Kwa wasanii wa marekani hii ni kawaida na kila mtu hutamba na kuonyesha majivuno ya hali ya juu).Kwa sis tuliosoma fasihi hii inaitwa MAJIGAMBO na ni namna ya kuifanya hadhira iongeze Concentration kwako.

Tatizo kuna uelewa mdogo kuhusu Kuishi ki-Star na maisha ya kawaida ndio hapo mnapochanganya na kutaka huyu dogo aishi kama ni mwimbaji wa Gospel.Mara mwez wa ramadhan,mara anapenda sifa,mara .... Yan kila mtu na kile anachokiona bila kujua kuwa ukichagua kuishi ki-star inakufanya uwe expensive na kibiashara hii target nzur sana. (Ndio mana MayMoney na ManPac hawakulipwa sawa japo walipigana ulingo mmoja).

Kuhusu BET,walimnominate diamond kwenye tunzo na ukiwa nominated kuna wakat nyimbo zako zinakuwa zinapigwa na sio Diamond tu,hata wote wengine akina Davido hii deal wanaijua ila tu ni vile Diamond ndo kaiweka waz na vile anaonekana ni mtu wa kujikweza ndo mana mnapata nguvu ya kubisha.

BET kumlipa msanii ni jambo la kawaida sana na naskitika kuona kuna upinzani unajitokeza juu ya hili,na nikumbushe kwamba hyo amount inaonekana kubwa kwa vile mgao wake pia ni mpana....kwenye hyo pesa kuna percent ya Director,producer n.k....

hawa kwani wanaelewaga sasa, na ndio wajue kinachomtafuna kiba kimya kimya ni ile dhana ya yeye sio mtu wa kujitangaza coz hataki sifa, aliomba kupewa ubalozi wa kuwa mlinda tembo, sasa kwa vile anaakili ndogo akadhani kwa kuwa yeye ni star, na wanafki flani waneshamuonesha wanampenda (kumbe ni mapretenderz) watamtangaza na kumpa shout out za hatareeee, hata mimi iliniuma jamni, hivi mtu kama kiba kweli ni wa kwenda kulalamika kuwa anashangaa sana watu kupotezea ubalozi wake???? nikajiuliza mtu asiyependa sifa wala kutangaza mambo yake watu wangempaje shout out sasa??? unajua kiba na shabiki wake wananikomfyuziii sana.
 
Kwani Jide na Ay wakiwa kimya ni lazima kila mtu awe kimya!!! ... Huna logic
umeelewa au umeshiba ugali unanipumzikia mi nimesema its normal kwa hao nilio wataja kila mtu c anatoa maoni yake nijibu kwa logic kwani ni mtihani huu au ni kitu cha maana saaanaaa peleka utoto wako hukoo
 
Back
Top Bottom