cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hivi watu wengine siku haiwezi kupita bila kutoa negative comment kwa Diamond au Ali Kimba.....?!
Duh..yan kuna watu humu akiguswa dai tu wanatokwa na povu kama nn..dah ...halaf mamen ...najiulizaga sana ..hata dai hawajui mtu anatokwa na povu kisa dai kakosolewa jambo
Huyu nae sijui wa wapi, watu wanazungumzia BET wewe unaleta habari ya vituo vikubwa Afrika!!! Hivi hujui kwamba kuna tofauti kati ya BET, MTV (na maeneo yake; Africa, Asia, Europe, n.k), Channel O, Trace and so on!!! Issue hapa ni BET!mbona AY na jide(give me love) nyimbo zao zinapigwa vituo vikubwa afrika ila hawasemi kama huyo boya ila anaweza akatoa hadi pesa huyo ili nyimbo zake zichezwe si mzee wa misifaaa na bado......
Hivi kwa kutumia ufahamu wako kidogo tu ulitarajia video iwasilishwe kwenye tv station bila submission form as if hiyo DVD unampa rafiki yako akai-play home?? Assume Diamond amezoea kupeleka video kibongobongo bila submission form, ulitarajia BET nao watachukua kazi ya mtu bila kuandikishiana kwamba wamechukua nini? Kesho na kesho kutwa wakipelekwa mahakamani kwamba wamecheza wimbo X bila ya ridhaa ya wamiliki halafu watajitetea vipi? Kama umeona logic yake, hivi bado unadhani kila DVD inayofikishwa BET na submission itakuwa ni kwa ajili ya kuzinduliwa?k wahiyo kaisubmit kisha form jamaa wamefungia maandazi au?
Hiyo inaitwa mahaba niue......Ndo wanayo
jamaaa anapenda sifa sana yule kwa hiyo jidee itakuwa na yy na AY wanalipwa mpunga mrefu mbona wapo kimya duu ila dai hata akibadilisha viatu anaonyesha mashabiki haya bwana!
na kama roho inakuuma vile
Pwilo mara zote uko negative kwa habar inayomuhusu Diamond,hata kama ana deserve utapinga tu na facts ambazo si za msingi.
Kwangu mim,msanii kujisifia sion kama ni tatizo provided anastahil hizo sifa (Kwa wasanii wa marekani hii ni kawaida na kila mtu hutamba na kuonyesha majivuno ya hali ya juu).Kwa sis tuliosoma fasihi hii inaitwa MAJIGAMBO na ni namna ya kuifanya hadhira iongeze Concentration kwako.
Tatizo kuna uelewa mdogo kuhusu Kuishi ki-Star na maisha ya kawaida ndio hapo mnapochanganya na kutaka huyu dogo aishi kama ni mwimbaji wa Gospel.Mara mwez wa ramadhan,mara anapenda sifa,mara .... Yan kila mtu na kile anachokiona bila kujua kuwa ukichagua kuishi ki-star inakufanya uwe expensive na kibiashara hii target nzur sana. (Ndio mana MayMoney na ManPac hawakulipwa sawa japo walipigana ulingo mmoja).
Kuhusu BET,walimnominate diamond kwenye tunzo na ukiwa nominated kuna wakat nyimbo zako zinakuwa zinapigwa na sio Diamond tu,hata wote wengine akina Davido hii deal wanaijua ila tu ni vile Diamond ndo kaiweka waz na vile anaonekana ni mtu wa kujikweza ndo mana mnapata nguvu ya kubisha.
BET kumlipa msanii ni jambo la kawaida sana na naskitika kuona kuna upinzani unajitokeza juu ya hili,na nikumbushe kwamba hyo amount inaonekana kubwa kwa vile mgao wake pia ni mpana....kwenye hyo pesa kuna percent ya Director,producer n.k....
umeelewa au umeshiba ugali unanipumzikia mi nimesema its normal kwa hao nilio wataja kila mtu c anatoa maoni yake nijibu kwa logic kwani ni mtihani huu au ni kitu cha maana saaanaaa peleka utoto wako hukooKwani Jide na Ay wakiwa kimya ni lazima kila mtu awe kimya!!! ... Huna logic