RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 200

Jana kulikuwa na kipindi katika BBC 4 kikionyesha uozo wa TAZARA reli ambayo kidogo watanzania wanajivunia lakini uozo wa humo umenifanya nijiulize kama TAZARA (Freedom Railway) ni hivi, TRL itakuwaje?
Nina bahati mbaya sijawahi kupanda hizi trains Bongo
Kama sio mvivu check hii
http://www.bbc.co.uk/programmes/b00s6bgw