Hizi roho wanazoungwa watu zinawavuta wengi sana. Olodumare inaimbwa hadi kanisani!

Hizi roho wanazoungwa watu zinawavuta wengi sana. Olodumare inaimbwa hadi kanisani!

Olorun is mentioned in the song "The Rhythm of the Saints" from the 1990 album The Rhythm of the Saints by Paul Simon.

Olorun appears as one of the gods in the 2014 video game Smite.

Eledumare is mentioned in the 2018 song "Soco" by Starboy featuring Wizkid
The fundamental question is what is a god to a non believer ?
 
The fundamental question is what is a god to a non believer ?
These orisa or orishas are supernatural beings, both good (egungun) and bad (ajogun), who represent human activity and natural forces, all at the same time, and is all harmonious, all possessed of equilibrium and worth.
 
Kuna wimbo unaitwa olodumare wa Joel Lwaga umekuwa maarufu kanisani watu wakitaja olodumare bila kujua maana yake nini.

Katika nyakati hizi za hatari,nyimbo nyingi za hawa watu walioungwa na "spirits" zisizojulikana zina maneno yaliyofichwa "codes" ambayo unaweza kujikuta unayatamka kila wakati kwenye wimbo na hapo unakuwa unazivuta kwako na kuzitukuza hizo spirits badala ya kumtukuza Mungu.Hii ni aina mbaya sana ya uzinzi wa kiroho na ni kumtia wivu Mungu aliyeziunba mbingu na nchi.

Hata hivyo hizi spirits ndizo zinawapa watu mamilioni na siku hizi wanajitahidi kulima ili kutakatisha pesa hizo.

Wana wa Mungu tusomeni neno sana na tumpe nafasi roho wa Mungu atufunulie siri za ufalme wake.Tuache tamaa ya pesa,umaarufu na tamaa ya vitu.
Mtu anapanda ndege kwenda Marekani huku anasimanga watu ambao hawajapata fursa hizo lakini hiyo ni kama shinikizo kwa watu wasiojielewa ili wawaombe msaada na hatimae huwa wanawaunga na spirits hizo.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sasa joel lwanga ndio mtu wa freemason hata wenyewe freemason wakisikia wanaweza kukuchapa viboko..unawakosea heshima kabisa
 
Hata hivyo hizi spirits ndizo zinawapa watu mamilioni na siku hizi wanajitahidi kulima ili kutakatisha pesa hizo.
Kuna Mwamba alisema alipata utajiri kwa kulima Mahindi Iringa, lakini alipoupata huo utajiri tulitarajia aendelee kulima zaidi badala yake akafungua kanisq
 
Sasa joel lwanga ndio mtu wa freemason hata wenyewe freemason wakisikia wanaweza kukuchapa viboko..unawakosea heshima kabisa
Wanaanzaga mdogo mdogo.....sisemi ndio lakini nataka kukuonesha kuwa mtu wa kawaida haibuki siku moja tu na kuwa freemason.....
 
Umejieleeeeeza weee ila hata hujatoa darasa la hicho umekilenga.
Sasa si ungesema hizo olodumare maana yake nini? Au na wewe hujui??
 
Back
Top Bottom