Kuna jamaa yangu alienda saloon baada ya kunyolewa akaanza kufanyiwa scrub kwa jinsi alivyokuwa anaguswa mpaka kwenye masikio anapitishwa vidole kwa ufundi na binti wa saloon, mwamvuli uko chini ukaanza kukunjuka, kidogo angepiga bao.
Inategemea na mkeo/mmeo anaelewa namna gani mimi siwezi kuacha kwenda hizi saloon kwa sababu wanasafisha vizuri kweli hata zile sehemu ambazo mimi na haraka zangu siwezi kumbuka kusafisha.....
Na hawa wanafanya kama nchi nyingine mfano nilienda lusaka, tena kule unanyolewa chumba hiki na unaenda safishwa chumba kingine sasa kama wewe ni mtu wa zipu wazi "ufwa wilola"
hata salon za wanawake kuna wanaume pia wanatoa huduma kwa wanawake.
Nimesoma reply zote za hii thread,na sijaona hata mmoja aliyejibu kwa ufasaha maswali yaiyoulizwa na mwenye thread. Kwanini watu mnapenda sana kukimbilia kujibu vitu bila ya kujitayarisha vizuri, kwa maana ya kuelewa swali kwanza na kujibu kwa ufasaha. Au mnajibu ili mjiongezee credit tu. Maana wengine wamejibu kwa maswali zaidi. Tafadhalini, chonde chonde wanajf,kama mnataka kuendelea kuifanya JF iwe sehemu ambayo itakuwa endelevu, basi tujitahidi sana kutoa majibu mazuri kwa maswali yanayoulizwa. Kama unaona jibu huna basi kaa kimya si lazima uandike,for the sake of just writting.
Wakati tunawalalamikia wanasiasa na watendaji wengine wa serikali kwa kulipualipua kazi zao,sasa naona hata hapa hapa JF kuna watu tena wengi tu wanalipualipua kwenye majibu yao kwa thread mbalimbali. Je! Hili ni tatizo la kitaifa?
Mkuu nashukuru kwa kukumbushia maswali nilyoyauliza kwenye hii mada. Hata hivyo ni vema pia kusika maoni ama mitazamo tofauti kuhusiana na mada husika kama vile unaionaje hii biashara, ni kwanini kwa siku za hivi karibuni imeshamiri sana.. nk.Nimesoma reply zote za hii thread,na sijaona hata mmoja aliyejibu kwa ufasaha maswali yaiyoulizwa na mwenye thread. Kwanini watu mnapenda sana kukimbilia kujibu vitu bila ya kujitayarisha vizuri, kwa maana ya kuelewa swali kwanza na kujibu kwa ufasaha. Au mnajibu ili mjiongezee credit tu. Maana wengine wamejibu kwa maswali zaidi. Tafadhalini, chonde chonde wanajf,kama mnataka kuendelea kuifanya JF iwe sehemu ambayo itakuwa endelevu, basi tujitahidi sana kutoa majibu mazuri kwa maswali yanayoulizwa. Kama unaona jibu huna basi kaa kimya si lazima uandike,for the sake of just writting.
Wakati tunawalalamikia wanasiasa na watendaji wengine wa serikali kwa kulipualipua kazi zao,sasa naona hata hapa hapa JF kuna watu tena wengi tu wanalipualipua kwenye majibu yao kwa thread mbalimbali. Je! Hili ni tatizo la kitaifa?
Nimesoma reply zote za hii thread,na sijaona hata mmoja aliyejibu kwa ufasaha maswali yaiyoulizwa na mwenye thread. Kwanini watu mnapenda sana kukimbilia kujibu vitu bila ya kujitayarisha vizuri, kwa maana ya kuelewa swali kwanza na kujibu kwa ufasaha. Au mnajibu ili mjiongezee credit tu. Maana wengine wamejibu kwa maswali zaidi. Tafadhalini, chonde chonde wanajf,kama mnataka kuendelea kuifanya JF iwe sehemu ambayo itakuwa endelevu, basi tujitahidi sana kutoa majibu mazuri kwa maswali yanayoulizwa. Kama unaona jibu huna basi kaa kimya si lazima uandike,for the sake of just writting.
Wakati tunawalalamikia wanasiasa na watendaji wengine wa serikali kwa kulipualipua kazi zao,sasa naona hata hapa hapa JF kuna watu tena wengi tu wanalipualipua kwenye majibu yao kwa thread mbalimbali. Je! Hili ni tatizo la kitaifa?
Sijawahi ona mwanaume anaenda kunyoa au kufanyiwa facial akiwa na mke wake!!
Kama unaona wewe inakukwaza usiende. Au ukishanyolewa usisafishwe na hao wadada kama unaona itakuharibia......
Angalia vizuri utaona ndugu.