Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

Nenda saloon za Ilala ndio utakoma kuzaliwa,kwanza wa lazimisha umtake,na ukimpa na ya simu basi ni balaa tupu,jamani fanyeni kazi hacheni biashara nyingine.Haswa saloon za Ilala ndio too much
 
nimebaki mshamba......mai waifu wangu ndo anani-scrub in case huduma hiyo inahitajika.......anani-massage pia huduma hiyo ikihitajika.......WANAWAKE SIKU HIZI HUTONGOZA WANAUME.....LETS TAKE CARE....!
 
Hao wengi waowana biashara ya pili na ndio gear zao za kukamata wateja, pia siku hizi kasi ya wanawake kutongoza wanaume inaongezeka
 
Mwanaume unakwenda kusafisha uso salon - scrubbing - sidhani kama ni sahihi, naona kama ulimbukeni huo! Ukila tu chakula bora ngozi itakuwa nzuri, nywele zitakuwa na afya, na mengi mengineyo katika mwili wako!
 
Poleni sana wanaume kwanini msiwaambie mnakerwa na tabia hizo
 
Poleni sana wanaume kwanini msiwaambie mnakerwa na tabia hizo

na wewe kalumbu kwanini ubadilishe sura yako na kuweka nywele za bandia? ulipokuwa na nywele fupi ulipendeza sana tu. kama sio shemeji aliyekushawishi ufanye hivyo, bora unyoe.
 
Mimi nawachunia na huwa sitoi tipu wala scrub sifanyi mpaka wote nikifika wananunaa.....jamaniii hawanipendiiii...
 
Solution kunyolewa na masapu au kujinyoa!..poleni sana!
Hivi kweli kama huwachekei chekei hao mabinti wataanzia wapi kukubom?!..
 
Mzee nashukuru sana...nitalifanyia kazi..Nahitaji huduma bora ...!!

Mkuu ni kitambo kidogo,nilikuwa najaribu kupitia mitundiko ya zamani nikakutana na hii. Hata hivyo uliweza kupata huduma?
 
Solution kunyolewa na masapu au kujinyoa!..poleni sana!
Hivi kweli kama huwachekei chekei hao mabinti wataanzia wapi kukubom?!..

Wanaanzia kwenye kukukuna kwenye masikio, mie huwa nawaambia kabisa masikioni usiguse
 
nimebaki mshamba......mai waifu wangu ndo anani-scrub in case huduma hiyo inahitajika.......anani-massage pia huduma hiyo ikihitajika.......wanawake siku hizi hutongoza wanaume.....lets take care....!

halafu hio ni kweli kabisa... Mimi kuna siku niligusishwa chuchu wakati wa napata huduma ya scrub! Ilikuwa utata acheni tu!
 
Sidhani kama ni salon zote...Mbona ninayoenda mie sipigwi mizinga..na chenji za salon anayelipwa ni kinyozi, si dada wa ku scrub!

Tatizo la wadada kuchekea wanaume mbona lipo kila mahali... hata humu ndani kuna wengine wanachekeana humu!
 
hapo mimi nimecheka lol!!! (sijamchekea m'mme)
 
mmmmh sikujua kama mpango wa kwenda kufanyiwa facial kwa wanaume umezoeleka kiasi hicho jijini dar!

tungelikuwa na bidii ya kula healthy meals kama hivyo tungefanya la maana
 
Sidhani kama ni salon zote...Mbona ninayoenda mie sipigwi mizinga..na chenji za salon anayelipwa ni kinyozi, si dada wa ku scrub!

Tatizo la wadada kuchekea wanaume mbona lipo kila mahali... hata humu ndani kuna wengine wanachekeana humu!

teh teh(umenichekesha ila sijakuchekea lol)
 
nimebaki mshamba......mai waifu wangu ndo anani-scrub in case huduma hiyo inahitajika.......anani-massage pia huduma hiyo ikihitajika.......WANAWAKE SIKU HIZI HUTONGOZA WANAUME.....LETS TAKE CARE....!

Nimekuwa nikijiuliza toka juzi hii thread ilipoanza kwa nini usimuombe mtu wa karibu na wewe akukande? Kama unaenda salon inaweza wakandaji wa salon wakakuelewa kuwa labda una nia nyingine, kumbuka kuwa watu wengi hawana professional ethics za kudhani kuwa hii ni kazi tu nisiteghemee kuanzisha uhusiano. Sitashangaa kama nikisikia kuwa wafanya kazi hao nao wanalalamiika kuwa wateja wao wanapita mpaka kwa kutojua kuwa hiyo kazi ya kukanda ni kazi tu mteja asitegemee kitu cha ziada. Kwa kweli sijui kwa nini usimuombe mke/mume wako akukande kama unadhani kuwa salon hawatakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…