Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

hivi kolabo za huyu jamaa haswa za marekani hupangwa na menejimenti yakeeeeee au atakaepita karibu wanae ili wapate sifa mtaani?, sijaona maana ya kumuweka omarion aisee tulishaga msahau mara nyingine n vyema kufanya na kina maromboso tuu
 
Hapa ndipo Diamond anaponiacha hoi, yaani anafanya kolabo na mtu wa nje cha maana wanachokifanya hao watu ni kutaja neon moja tu kama vile 'oooo' 'uuuu' 'waaaa' 'haaaa', 'you know what', 'Hey Yo', wabongo wanaona ujiko, this is beyond stupidity? Unamlipa mtu so much money kuuza sura tu?
[emoji23][emoji23] nimecheka mpaka nimepaliwa
 
Ni ukweli usiopingika kwamba watu huwa follow IG watu ambao wana vitu unique au wanauwezo zaidi yao ili kujifunza kutoka kwao.

Sasa kwa mantiki hii naamini kabisa msanii Diamond Platinums ni msanii mkubwa kuliko Omarion ,kwanza diamond ana followers wengi IG kuliko Omarion ,halafu kingine Omarion anamshobokea shobokea sana Diamond ,wakati Diamond wala hana time naye(omarion).

Omarion amemfollow Diamond ila Diamond hajamfollow Omarion ikiwa ina maana kuwa Diamond hana cha kujifunza kutoka kwa Omarion.

Screenshot_2017-10-30-00-24-41.jpg
IG account ya Mondi


Screenshot_2017-10-30-00-24-02.jpg
IG account ya Omarion.

Mbali na Omarion pia msanii mwengine anayetembelea nyota ya Diamond ni huyu Rick Ross kila kukicha anatamani angekuwa ana ushawishi mkubwa wa kimuziki kama aliokuwa nao Diamond

Hivyo Rick Ross kaamua amfollow Mond kila anachofanya ili angalau na yeye afikie hata robo ya mafanikio ya Mondi.


Najua kuna watu watakuja na kupinga suala hili hasa mashabiki wa Ali Kibamia.

Ila sitashangaa sana maana waswahili wanasema nabii hakubaliki kwao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama unafikiri ustaa unapimwa kwa idadi ya followers instagram basi nina mashaka na halmashauri ya kichwa chako.
Sasa unapimwa na nini?
Ukiona hakuna mwenye time na wewe hujui huna impact yoyote.

Ingekuwa hajabu leo Christian Ronaldo angekuwa na Followers wachache kuliko Shiza Kichuya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usimfananishe Omarion na vitu vya kijinga!!

Mond kuwa followers wengi IG ndio useme ni mkubwa kuliko Omarion!? Huwezi kuwa serious, labda unaongelea ukubwa wa umri!!!!!
 
Usimfananishe Omarion na vitu vya kijinga!!

Mond kuwa followers wengi IG ndio useme ni mkubwa kuliko Omarion!? Huwezi kuwa serious, labda unaongelea ukubwa wa umri!!!!!
Ukweli utabaki kuwa ukweli mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
duuuh diamond hamzidi chochote omario kuanzia ustaa mpk dhambi ww una followers mil7 ila likes na comments haijawahi vuka lak5?Diamond tumweke humuhumu africa kwnza tukivuka mipaka tutamvua nguo
 
Kipindi Omarion anaanza kutesa na B2K, mond anakula kamasi tandale. Tujifunze kuheshimu watu, ushabiki huu wa kipuuzi ndio unaharibu muziki wetu. "The Boss" Rosay amshobokee mond?! We jamaa kwa hatua uliyofikia unaweza ukamzawadia jamaa "kisu cha asili!" Wenzetu wanatabia ya kuheshimu na kuikubali kazi ya mtu "Appreciation" Hivi ingetokea siku Msanii yeyote mkubwa wa Marekani akajirekodi anacheza ngoma ya jamaa yako na kuiposti insta kama alivyofanya Swizz Beatz na Alicia Keys kwa ngoma ya Wizkid Ojueleba, si ungekimbia uchi mitaani?! Jifunze kuheshimu kazi za watu!
 
Hivi katika mastaa wa music alioimba nao mond Kuna waliofika level ya R.Kell
 
Back
Top Bottom