Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
[emoji23][emoji23] nimecheka mpaka nimepaliwaHapa ndipo Diamond anaponiacha hoi, yaani anafanya kolabo na mtu wa nje cha maana wanachokifanya hao watu ni kutaja neon moja tu kama vile 'oooo' 'uuuu' 'waaaa' 'haaaa', 'you know what', 'Hey Yo', wabongo wanaona ujiko, this is beyond stupidity? Unamlipa mtu so much money kuuza sura tu?
Ha ha ha ha haHance Mtanashati we jamaa nilishasema ni shabiki number moja Diamond jf.
Sasa unapimwa na nini?Kama unafikiri ustaa unapimwa kwa idadi ya followers instagram basi nina mashaka na halmashauri ya kichwa chako.
Toa facts acha porojoNimesoma tu sentensi ya kwanza bila shaka kote umeandika upupu (std 7 inakusumbua) rudi shule
Ukweli utabaki kuwa ukweli mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usimfananishe Omarion na vitu vya kijinga!!
Mond kuwa followers wengi IG ndio useme ni mkubwa kuliko Omarion!? Huwezi kuwa serious, labda unaongelea ukubwa wa umri!!!!!
Ukweli utabaki kuwa ukweli mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]