Hizi shule za English Medium zimetugeuza Wazazi kuwa Walimu?

Hii mishule imefikia hatua watoto wanamwambia mama wewe hujui kila ukitupa majibu tunakosa, wanamwambia mama yao si umesoma hadi form 4 wewe sasa tatizo nini, mi nipo ndani nawasikiliza nacheka tuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Tulipo ambiwa elimu sio lazima uajiliwe tuliahangaa sana.sasa ona madhala yake.
 

Wacha vijana wasome..hatutaki kuzalisha akina SABAYA wengine...hahahahahahah
 
Kwakweli mkuu
 
Utakuwa mwanamke bila shaka.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ pole...

wallahy umenichekesha..
 
H Huu ufafanuzi unatosha
 
Umnunulie vitabu....wanavyotumia shuleni kulingana na darasa analosoma.....itakurahisishia kumsaidia homework.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1. Normadic
2. Sedentary
 
1. Sedentary farming/pastoralism
2. Normadic farming/pastoralism
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

hapa nadhani ulikutana na yale maswali ya " andika methali inayokinzana na hizi zifuatazo_

1.mwenda tezi na omo marejeo ngamani
2. heri kenda shika kuliko kumi nenda uje

πŸ˜„ hapo ni lazma mzazi ukae
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

hapa nadhani ulikutana na yale maswali ya " andika methali inayokinzana na hizi zifuatazo_

1.mwenda tezi na omo marejeo ngamani
2. heri kenda shika kuliko kumi nenda uje

[emoji1] hapo ni lazma mzazi ukae
Kama hizo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Methali na nahau nyingi zilikuwa mpya, hazikuwepo kipindi chetu kwa ambao tumesoma kipindi cha Posta na Simu.

Namshukuru Mungu niliko mpeleka kumalizia ndiko aliko pangiwa form one.

Namuombea kwa Mungu amjaze ujasiri wa kupambana na baridi.
 
hahahahahaha
 
Ukaona isiwe taabu, kuliko utukanwe matusi ya reja reja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu sijui kwanini wababa tunakuwa na kiherehere kusaidia watoto,sijui ni huruma yetu ya tumbo la uzazi?!!!
Nyie wamama mkiitupia h/w kwa jicho la udukuzi mna kataa katakata kumsaidia mtoto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…