Hizi sigara zinapatikana wapi Dar es Salaam?

Hizi sigara zinapatikana wapi Dar es Salaam?

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,048
Reaction score
1,424
Kwa mkoa wa Dar es Salaam naomba anayefahamu hizi sigara zinapouzwa anifahamishe na bei yake. Zinaitwa Dunhill.

IMG-20230309-WA0028.jpg
 
Hiyo DUNHILL ya kitoto,tafuta EMBASSY SWITCH DOUBLE KICK...Zinapatikana kwenye mall au maduka ya jumla...
 
Mi naulizia zile zakucharge napata wapi na kwa bei gani
 
Back
Top Bottom