Hizi sigara zinapatikana wapi Dar es Salaam?

Hizi sigara zinapatikana wapi Dar es Salaam?

Hahahhh boss mbona hizi ndo zmejaa madukani
Embassy double click Kwa saiv nipo Dar mbagala Rangitatu supermarket nmeikuta hata juzi Kati nilikua Arusha supermarket zipo na Moshi pia kuna supermarket ya kcmc pale nilinunua boss hyo ndo mikoa niliyotembea na kuzikuta
 
Back
Top Bottom