Hizi siku nyingine hizi haaa!

Bishanga ni nini lakini!
ni hiz kashata za nazi na kahawa yenye zaatar na mvule nayotaka kumwandalia M'Jr au ni nini?
hebu UTUWACHE!

umemuona enh! mhaya huyu zaid yakahawa a kienyeji anjua nn kingine mwali??
wew unamwambia kahawa ya zaatar na mvule ajulie wapi??

uhayani mivule wanafungwa watoto wachanga eti mizimu isiwasumbue ushamba bana, sijui walikuwa wapi hawa wahaya wakabaki washamba
 
Bishanga atameza mtu bila kumtafuna hapa
 
Last edited by a moderator:
ahahahhah mwali wanalima vanila lakini kutwa kuiuza ulaya!
hawajui vanila kavu ikatwe kati kiubapa hivi kisha iwekwe kweny chai ya maziwa!
hawa banyankole hawa waache tu!sembuse zaatar na mvule!
 
hebu kwanza karibu ukoge maji ya moto yenye karafuu kidogo!kisha kahwa na maamri yanakusubiri! Bishanga kaa kushoto!

dah! wallah mwali umenitoa udenda!
khaaa! uyapate maamri jion hii na baridi hili na chai ilotiwa mdalasini na iliki ama mchai chai............
mmmh!..........narudi home wangu nikajipikilishe kwanza.
 
Hizi habari si ntakuwa siendi kazini mie, na maji ntaanza kuyaita MMAAA?! Mweh!

kwanza leo ijumaa!
hujazitengeneza wiki nzima utatengeneza leo!
kiiisa?
ukisha kuna mkeka hapo barazani wakusubiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…